Durian: Tunda tamu sana lenye harufu kali linalopatikana Unguja tu, Tanzania nzima

Kwanini ufe ukishushia na bia? imeshaua wangapi? nani alifanya huo utafiti kuwa ukishushia na kilevi unakufa? ni sumu gani iliyopo katika tunda hilo hadi iueukishushia na bia? Majibu tafadhali!
Maswali mazuri sana ila sina Majibu!
Hii inaweza ikawa ni myth au kweli coz hiyo mixture kuwa ni sumu inajulikana zaidi huko Thailand.

Hivyo utafiti ni muhimu sana kujua ni kemikali gani ikiungana na pombe (alcohol) inatengeneza sumu mwilini!
 
Kama umesoma kitabu cha Mfalme Juha cha Farouq mwishoni mfalme Juha anaambiwa akifa siku ya .... ataenda peponi atakuta chakula matunda na kila anachotaka.

Yeye akauliza "Madoriani yapo?" Akajibiwa "Ndiyo"

Akasema "Kama yapo basi siendi mi harufu yake siipendi" akawahiwa "Kama kitu hukipendi hautakikuta wala harufu hautaisikia"

Akakubali kufa

Update

Hivi mnaweza kuamini hizo nyota nyota ni kisa nimeandika neno ju.ha?

Jamii Forums mbona mna mambo ya ajabu hebu acheni hizo, neno la kawaida kabisa mnalisensor.
 
Kama umesoma kitabu cha Mfalme **** cha Farouq mwishoni mfalme **** anaambiwa akifa siku ya .... ataenda peponi atakuta chakula matunda na kila anachotaka.

Yeye akauliza "Madoriani yapo?" Akajibiwa "Ndiyo"

Akasema "Kama yapo basi siendi mi harufu yake siipendi" akawahiwa "Kama kitu hukipendi hautakikuta wala harufu hautaisikia"

Akakubali kufa

Update

Hivi mnaweza kuamini hizo nyota nyota ni kisa nimeandika neno ju.ha?

Jamii Forums mbona mna mambo ya ajabu hebu acheni hizo, neno la kawaida kabisa mnalisensor.
Hahahah
 
Sidhani labda umefananisha,yanaota maeneo ya pwani tu..nchi kama zanzibar,malaysia,indonesia ndio baadhi ya nchi zinazootesha

Hata Morogoro yapo.
Sema sio tunda maarufu kama lilivyo nanasi au papai au fenesi.
Lakini Durian linapatikana hata Morogoro.
 
Nimekumbuka mbali sana, baada ya kula pilau huwa tunashushia na tunda hilo Yummy!!
 
Nakumbuka zamani kuna matunda tulikua tunayaita map*mbu ya paka yanafanana na hayo japo sina hakika kam ndio yenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom