DUNIANI WAWILI KWA WAWILI WAPENDANAo

DUNIANI WAWILI KWA WAWILI WAPENDANAo

305885_246464635391578_4399950_n.jpg


huyu ni Mkuu Washawasha na mke wake wamependeza Mashallah.................
Nashukuru sana Muheshimiwa MziziMkavu,kwa kuiweka hii picha yangu,hapo nikiwa na my wife wangu sehemu sehemu jumamosi ya jana.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Tabasamu lenye uhakika.
Ila kichocheo kwa huyo dada kama nakihisi vile? Au basi.
Hapo nilijichagulia mtoto mzuri wa kinyarwanda basi ile "Operesheni Kimbunga" ikamkumba na sasa yuko kwao Rwanda.
Nalog off
 
ha ha ha hata si Washawasha...yeye anataka mizigo hihaaaa!!!ilojazia haswa....
ndio ulevi wangu mkubwa ile mizigo hinha,basi alikuwa ananisumbua huyu ila ile "Operesheni Kimbunga"ilivyoanza nikaenda kuwaambia askari kwamba kuna muhamiaji haramu nyumbani kwangu wakaja kumkamaata na sasa yuko kwao Rwanda nami najiachia na mizigo ya oversize.
Nalog off
 
Aahahahahahah hongera kaka...ndio vizuri unapatwa kubebwa mgongoni sometimes..
Nashukuru sana bi dada,si unajua hizi kazi zetu ukirudi umechoka basi nabebwa na kujipumzisha kwa raha zangu.
Nalog off
 
Back
Top Bottom