Utupu ni mahali pasipo na kitu chochote,mfano ,anga,alafu ondoa hewa/gesi zote,odoa mwanga ,ondoa viumbe patikoz zote,ondoa maji maji /vapour. Hapo ndo utakuwa na utupu,(an emptness) na darkness (giza )
Hebu fikiri ,kabla ya jua kuwaka na kutokwepo kwa mfumo unaoitwa solar system ,palikuwaje,
Palikuwa na hio hali nayoita utupu and darkness,sijui umenielewa
Hali hio haiumbiki wala haihitaji uumbaji,ni comon condition of the universe, before evolution of the Galaxies zote in the universe, kumbuka jua huwaka na kutoa nishati mbalimbali kwa sababu kuna vitu vinaungua pale chemical reaction (radioactive element s)
Kabla ya kuunngana jua ilikuwa haiko uunavyo leo,palikuwa na giza ya kutisha ulimwenguni.negative energies, hapo vipi najua unataka kujua kuhusu negative energy!!
Ni nishati before zero, physics wanaita quantum energy