Sikuwa najua kwani wanawake wanapataga raha?Hao hupenda kusema tumia hela ikuzoee au hela ikutunze sio wewe uitunze, anataka apate raha ambayo wanawake huwa wanapata pindi wanapakwa rangi๐๐
anaogopa kujikata na nyembe.Hiyo namba mbili Mkuu kwani mwenyewe anashindwa nini sasa. Si akate tu kama mke yuko busy?
Au ndio ana pesa za mchezo.
Hatari sana Mkuu! Wanaume wa Daslam hao.anaogopa kujikata na nyembe.
Ukiwataka utapata ongea na jirani yako hapo mpaka rangi ๐Sikuwa najua kwani wanawake wanapataga raha? Mana sijawahi kujaribu hiyo kitu kwani huku Nanjilinji hawapatikani hao vijana.
Kwa staili hii kweli wanaume tutaisha kabisa ukizingatia kwamba bado tupo wachacheHatari sana Mkuu! Wanaume wa Daslam hao.
Hapana kwa kweli Mkuu! Yanipite tu hayo.Ukiwataka utapata ongea na jirani yako hapo mpaka rangi ๐
Hutaki kupewa raha na vijana wa kaziHapana kwa kweli Mkuu! Yanipite tu hayo.
Yabidi mjizoweshe kukaa vikao vya mara kwa mara Mkuu ili tusiwapoteze. ๐๐๐Kwa staili hii kweli wanaume tutaisha kabisa ukizingatia kwamba bado tupo wachache
Kwa umri wangu hapana kwa kweli. ๐๐๐Hutaki kupewa raha na vijana wa kazi
Walio ooa tuu. Wasio oa wasubiri paka waoe. Wasio oa wajikate wenyeweJirani!! Hivyo wasio na wake wanastahili kuwa wanafanyiwa hivyo? Au sijakuelewa?
Hilo ni suala la msingi sana sema hata nyie mna kazi ya kufanya tunapokuwa tumewaweka ndani usikute mke wake hajatekeleza majukumu yake ndo maana kaamua kwenda kwa vijana wa kaziYabidi mjizoweshe kukaa vikao vya mara kwa mara Mkuu ili tusiwapoteze. ๐๐๐
Hapo sawa jirani. Japo niseme kuoa sio mwanzo wa ulemavu. Sababu Mke anaweza kuwa busy na kazi, akirudi nyumbani yuko busy na familia hata asikumbuke kama Mume kucha zimekuwa kubwa.Walio ooa tuu. Wasio oa wasubiri paka waoe. Wasio oa wajikate wenyewe
Sasa Mkuu majukumu yote yakiwa ya mke unadhani kila jukumu litatekelezeka basi, zaidi madhara yake yatakuwa kama hayo sasa.Hilo ni suala la msingi sana sema hata nyie mna kazi ya kufanya tunapokuwa tumewaweka ndani usikute mke wake hajatekeleza majukumu yake ndo maana kaamua kwenda kwa vijana wa kazi
Hapo sawa jirani. Japo niseme kuoa sio mwanzo wa ulemavu. Sababu Mke anaweza kuwa busy na kazi, akirudi nyumbani yuko busy na familia hata asikumbuke kama Mume kucha zimekuwa kubwa.
Hivyo inapobidi wenye wake mujikate tu na sio kuogopa viwembe jirani. [emoji3][emoji3]
Wanaume tumebaki wachache sana
Eti jamani. Hatukatai kuwakata ila inapobidi wakate tu kwani kikawaida kama usemavyo Mama haishiwi shughuli hasa awapo nyumbani.Yani mtu anashindwa kukata kucha anasubir mke, mke mwenyewe shughuli lukuki.