Naungana na wewe...Anahitaji pia pesa ya huduma ndogo ndogo kama sabuni, chakula, usafiri nanmavazi.
Atafute namna ya kuthibitisha hii taarifa yake, wengi wakijiridhisha watasaidia sana. Kwa hivi ilivyo ngumu kwa watu wengi kuchangia kwani dunia imekuwa ya watu wadanganyifu sana.
Atafute namna ya kuithibitisha hii taarifa..!!
Maana huko mwisho amefunga mawasiliano,
Hivyo in ngumu MTU kujiridhisha iwapo atataka kuchangia, tatizo watu wakorofi wameondosha imani kuaminiana baina yetu tusiofahamiana...