Duniani kuna mambo. Yametokea

Muarubaini

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
222
48
Jamaa yangu mmoja alikuwa anatembea na mke wa mtu, akaonywa hakusukia. Cku moja akamka asubuh akasikia maumivu ya ghafla kwenye nyeti zake, bado akiwa anashangaa akamuona panya anapotelea kwenye kona amebeba nyeti zake. Its real, imetokea
 
Ni mkoa gani huo wenye sayansi kali hivyo ya "remote genital removal"
 
Jamaa yangu mmoja alikuwa anatembea na mke wa mtu, akaonywa hakusukia. Cku moja akamka asubuh akasikia maumivu ya ghafla kwenye nyeti zake, bado akiwa anashangaa akamuona panya anapotelea kwenye kona amebeba nyeti zake. Its real, imetokea

Nanukuu tu.
Gazeti la Risasi Jumamosi tar 16/6

Lakini hujambo Muarubaini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom