Duniani kuna mambo soma hii!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duniani kuna mambo soma hii!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kiparah, Jan 29, 2011.

 1. k

  kiparah JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Mke anayependa sana ngono amfanya mumewe akimbilie polisi[/FONT]

  [FONT=&quot]ISTANBUL[/FONT][FONT=&quot], Uturuki[/FONT]
  [FONT=&quot]MWANAUME mmoja raia wa Uturuki anayeishi nchini Ujerumani amelazimika kukimbilia polisi kuomba msaada baada ya kushindwa kumvumilia mkewe anayedai haki yake ya kupewa unyumba kila wakati bila ya kumpa mwanaume huyo muda wa kupumzika.[/FONT]

  [FONT=&quot]Mwanaume huyo ambaye jina lake limewekwa kapuni, alikimbilia kituo cha polisi kuomba msaada baada ya kushindwa kuyatimiza mahitaji ya kimapenzi ya mkewe wa ndoa yao iliyodumu miaka 18 na kuzaa naye watoto wawili.[/FONT]

  [FONT=&quot]Mwanaume huyo aliwaambia polisi kuwa mkewe kila wakati anataka uroda akidai ni haki yake ya msingi kupewa unyumba kila anapojisikia.[/FONT]

  [FONT=&quot]Mwanaume huyo alikimbilia kwenye kituo kimoja cha polisi kusini magharibi mwa Ujerumani akisema kuwa kwa miaka minne iliyopita amelazimika kulala sebuleni kumkimbia mkewe chumbani ili angalau aweze kupata muda wa kupumzika.[/FONT]

  [FONT=&quot]Mwanaume huyo aliongeza kuwa hata hivyo, mkewe amekuwa akimfuata sebuleni akidai unyumba na kumfanya akose usingizi kutokana na kero kubwa ya kumpa unyumba mkewe kila wakati.[/FONT]

  [FONT=&quot]Mwanaume huyo aliwaomba polisi watafute njia ya kumsaidia ili aweze kupata usingizi wa kutosha usiku ili aweze kwenda kazini asubuhi bila ya uchovu mwingi.[/FONT]

  [FONT=&quot]"Sasa ameamua kumpa talaka mkewe ili aweze kuendelea na maisha yake na angalau aweze kupata muda wa kupumzika na kwenda kazini mapema asubuhi akiwa fiti bila ya uchovu," ilisema taarifa ya polisi.[/FONT]


  [FONT=&quot]SOURCE: Yahoo-news.
  [/FONT]
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhh,wameshajua haki zao siku hizi....kazi kwetu...
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  kaz kwenu hasa
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo..
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa nini asimkatie awe anakaa nayo muda wote. Akijisikia, anatumika bila chenga.
   
 6. p

  pichuwanyi Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh! anaptikanaje i want to assist mana lazima iwake moto!!:msela:
   
 7. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kama vipi akubali ndoa yao iwe ya watu watatu aongeze kifaa kipya damu changu ya kiume mzigoni wapange roster..
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Haahaa! Hii kali sijawahi kusikia
   
 9. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  pengine bibie ni m2miaje supu ya pweza.
   
 10. k

  kisukari JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  haya kutakuwa na sababu tena ya nyumba ndogo?kama mchezo,bwana hauwezi tena.jamani huyo bwana nae hana sauti mpaka akashtaki polisi? kwa kweli inashangaza
   
Loading...