Bado sijaona chanzo cha hiyo definition yakoNimekupa vyanzo umeviona?
Au ulifikiri nimetunga kichwani?
Watu washajadili na kujua why wagiriki waliita Europe continent Kwa makosa ya kibaguzi kama walivyoita wazungu binadaamu wa kwanza kugundua Mlima Kilimanjaro na mengineyo
Naomba chanzo cha hii definition yake
Bado sijaona chanzo cha hiyo definition yako
Hiyo hiyo ya kwako soma hadi chini au ngeli haipandi?Wewe unaongea na source zipi?unatoa kichwani mwako??
Sipingi kuhusu eura-sia
Unapinga nini ?Sipingi kuhusu eura-sia
Kwa hiyo chanzo chako ni Waarabu au?Wewe unafikiri Europe ni continent Kwa sababu wazungu wamefundisha watu hivyo? umewahi Google Eurasia ukaona unapata nini??
Kwa hiyo chanzo chako ni Waarabu au?
Hata hicho unacho ggogle ni wazungu wameandika acha hizo
Kimsingi huna hoja.Unapinga nini ?
Uache ushamba hapa hatugombani bali tunakoseana na mwisho wa siku tunajifunza.Wewe jamaa mbona unashambulia mtoa mada badala ya kushambulia mada??
Unafikiri alieanzisha huu uzi hajui alicho fundishwa shuleni ni nini?
Why unafikiri kaanzisha uzi?
Kaona alichofundishwa ambacho na wewe umekariri ni uongo mtupu
Sawa na mlivyo fundishwa Dr Livingston aligundua ziwa Tanganyika na wazungu wengine kuwa binadaamu wa kwanza kugundua Mlima Kilimanjaro na vingine....
Wewe kariri ujinga ulichofundishwa.....bila kutumia akili na kuhoji ukweli wake...
Originally ilikuwa video ya Mtaalam anaelezea najaribu kutafuta niiweke hapa ..kama ambavyo naweka other sources
Sasa kumbe unayajua mabara? I thought umeandika thread ili ujue zaidi,...Australia ni bara? Sijawahi sikia bara linaitwa Australia.
Africa ni kubwa sana kuliko Russia. 30mil kmsq Africa kwa 17mil kmsq Russia. Hii Ramani maarufu tunatumia ina kasoro kubwa. Inafanya nchi na maeneo ya karibu ya Equator yawe madogo na yale kwenye poles yawe makubwa. Ina faida moja ya kuweka longitude na latitude kwa usahihi. Ila naamini ingekuwa inadogosha nchi za Ulaya tusingekuwa tunaitumia.Ajabu hiii picha Africa ni kubwa kuliko Russia...lakini wanachora Russia kubwa kuliko Sahara desert..
Ukweli Russia inaingia Sahara desert na eneo linabaki...
Wewe tazama square meters za mraba za Russia na Sahara utapata jibu