Haohao waliokupa hiyo definition ndio wanaloliita europe ni bara, sasa akili yako i wapi?A continent ni a big piece of land surrounded by water...sasa Europe inakuwaje continent??we hutumii akili?au kisa umekaririshwa na wazungu??
List inaendelea hapo chini, we ni mtu mzima lakini unakuwaga mbishi sana wa kitotoWewe mwenyewe umesema list of seven continents halafu umekuja na five ...hujistukii.??
Haohao waliokupa hiyo definition ndio wanaloliita europe ni bara, sasa akili yako i wapi?
Eti Australasia...hii imetumika kama ukanda na sio baraAfrica
Eurasia
Australasia..
America
Americas
Antarctica
Huu ni utumbo bablai.And that makes it okay?
Yaani ili bara liitwe bara lazima liwe surrounded na maji lakini kipande Chao wale wazungu wakaamua Tu kusudi kuita bara na hakuna maji surrounded...na wewe ndo imekubali kama tutusa? seriously??
Mbona walipokwambia Dr Livingston ndo kagundua Ziwa Tanganyika...umeamka na kupinga...
Christopher Columbus kagundua America?waliokuwa wanaoishi kabla hajafika je??
Mbona vitu vingine viko so open...
Hakuna bara linaitwa Europe...
Kama ambavyo Hakuna mtu kutoka Ulaya aliekuja Africa na kusema binadaamu wa kwanza kugundua Mlima Kilimanjaro....wachaga wale na wamasai ni wanyama????
Huu ni utumbo bablai.
Unajaribu kudanganya watu hapa.
Hakuna kitu kinaitwa Autralasia bali Oceania continent
Eti Australasia...hii imetumika kama ukanda na sio bara
Huu ni uongo mtupu
Australia na Newzealand na Fiji vinaitwa Oceania
Sijahamisha goli wala magoli hapa nilikuwa nakujibu pia kuhusu Australasia yako kuwa hii haimanishi ni bara bali ni ukanda, au koloni hasa koloni la Muingereza kusini mwa Asia...hii ndio maana halisi ya hilo jina.Mimi nakwambia hakuna Europe we umerukia Oceania...
Oceania au Australasia ...hayo ni majina Tu but eneo lake linajulikana kuwa ni Australia,New Zealand, Fiji nk...
Usihamishe magoli...
Nilikuwa nakupa the truth about Europe ambayo ulikuwa haujui...
Sina baba mbishi na mjinger hivi
Malizia kusoma
Huu ni utumbo bablai.
Unajaribu kudanganya watu hapa.
Hakuna kitu kinaitwa Autralasia bali Oceania continent
Naomba chanzo cha hii definition yakeA continent ni a big piece of land surrounded by water...sasa Europe inakuwaje continent??we hutumii akili?au kisa umekaririshwa na wazungu??
Acha huo ufaller tuendelee hapaDogo umepewa elimu za kukariri kina Dr Livingston wamegundua lake Tanganyika basi hata hujisumbui kutumia akili
View attachment 2623372
Mzushi huyuNaomba chanzo cha hii definition yake
Ndio namshusha dadako getini mfungulie kalewa hafaiMmetoka bar mnaanza kubishana
Naomba chanzo cha hii definition yake
Wewe utakuwa Mzanzibar wale CHOGOLESS.Dogo umepewa elimu za kukariri kina Dr Livingston wamegundua lake Tanganyika basi hata hujisumbui kutumia akili
View attachment 2623372
Naomba chanzo cha hii definition yake
Wewe utakuwa Mzanzibar wale CHOGOLESS.
Austalasia haimaanishi bara bali ukanda/nchi zilizotawaliwa na Muingereza kusini mwa Asia ndg yangu.
Lala upumzishe fuvu