Duniani kuna mabara mangapi?

Yako 15 Mkuu.

Africa
Europe
Asia
Australia
South America
North America
East America
West America
Antarctica

( mengine 6 ni forbidden kuyataja...naogopa kuchukuliwa na upepo wa kisurisuri.....naogopa kubanwa kifua )...nicheck inbox kama unataka kuyajua
 
Mbona zipo nyingi kuna mabara ya hapa sinza,kuna mbezi zipo kama 200,mbagala usiseme zipo mpaka za kutoa mimba wewe unataka mabara gani njoo inbox nikupe namba
 
Australia ni bara? Sijawahi sikia bara linaitwa Australia.
 
Wakuu sana, eti kijiografia duniani kuna mabara mangapi?


Ajabu hiii picha Africa ni kubwa kuliko Russia...lakini wanachora Russia kubwa kuliko Sahara desert..
Ukweli Russia inaingia Sahara desert na eneo linabaki...
Wewe tazama square meters za mraba za Russia na Sahara utapata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…