AnhaDr Shika; alinunua nyumba za Rugumi kwa mil 900😉🙄
Naamin he is humble ila watu wanamtumia vibayaAnha
Kumbe ndio yule jamaa alisema kuna pesa zake sijui Russia|Pakistan zimekwama kidogo kutokana na System ya wenyewe huko sio Muda zifafika.
Mapema mie nilitambua hakuna pesa pale huyu jamaa kiuhalisia hana pesa kabisa ..Sema ana akili ya kujichetua|Kujitoa wazimu ya kufanya vitu ambayo hana hata uwezo navyo.
".....Tutaelewana kidogo kidogo,Ngoja tuoneshane makali😅.
Huyu jamaa ni Homeless
Mara nyingi anapendelea kushinda upande wa baharini pale State House
Amepoteza uelekeo
What made you think the guy is homeless?!
Nielewavyo the guy had never had a home, he was hosted by a friend of his, ila yeye kuwa hapo pia haimaanishi kawa homeless, anaweza kuwa wapumzike tu.
Anha
Kumbe ndio yule jamaa alisema kuna pesa zake sijui Russia|Pakistan zimekwama kidogo kutokana na System ya wenyewe huko sio Muda zifafika.
Mapema mie nilitambua hakuna pesa pale huyu jamaa kiuhalisia hana pesa kabisa ..Sema ana akili ya kujichetua|Kujitoa wazimu ya kufanya vitu ambayo hana hata uwezo navyo.
".....Tutaelewana kidogo kidogo,Ngoja tuoneshane makali.
Hahaha kwani analala huko?! Labda ana mitikasi yake huko baharini, vijana wanasema mjini hakuna shamba, lakini kuna mazao ya kila aina. Mguu wako ndiyo kula yako. Sasa ulitaka ashinde wapi, nyumbani?!Huyu jamaa ni Homeless
Mara nyingi anapendelea kushinda upande wa baharini pale State House
Amepoteza uelekeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje kama ni homeless?
Nimekueleza ninachokiona kila siku
Kila siku nakutana naye [Code name]Magogoni
Hahaha kwani analala huko?! Labda ana mitikasi yake huko baharini, vijana wanasema mjini hakuna shamba, lakini kuna mazao ya kila aina. Mguu wako ndiyo kula yako. Sasa ulitaka ashinde wapi, nyumbani?!
Ukiona hivyo anaishi huko, hivyo wewe na yeye ni majirani huko magogoni.Nimekueleza ninachokiona kila siku
Kila siku nakutana naye [Code name]Magogoni
Sent using Jamii Forums mobile app