Dunia yashuhudia tena XTR81972 miner atomic bomb ndani ya miongo kadhaa

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Yes, kimepigwa tena.

Nuclear or atomic or hydrogen bombs, yapo.

Kuna small scale, large scale, local, regional, state, continental -- yote yapo.

Nchi 3 zinazoongoza kwa hifadhi kubwa ya silaha hizi, yaani kuanzia mabomu 6000 kwenda juu ni

1. Russia
2. USA
3. France

Ogopa sana hizi silaha.

Though wajuzi wa mambo wanaelekea kuacha silaha hizo na kuelekea kwenye silaha za hatari zaidi zisizo na mipaka.

Mfano ni Covid-19. Ndio wanajikita huku sasa
 
So covid 19 ndo nuclear bomb lililopigwa..?
Maana umeandika limepigwa lkn hujaweka location!. Kama ndo hiyo covid 19 basi tz tumeipeperushia huko..😜
 
So covid 19 ndo nuclear bomb lililopigwa..?
Maana umeandika limepigwa lkn hujaweka location!. Kama ndo hiyo covid 19 basi tz tumeipeperushia huko..
Africa haikua target..target unazijua..
 
Yes, kimepigwa tena.

Nuclear or atomic or hydrogen bombs, yapo.

Kuna small scale, large scale, local, regional, state, continental -- yote yapo.

Nchi 3 zinazoongoza kwa hifadhi kubwa ya silaha hizi, yaani kuanzia mabomu 6000 kwenda juu ni

1. Russia
2. USA
3. France

Ogopa sana hizi silaha.

Though wajuzi wa mambo wanaelekea kuacha silaha hizo na kuelekea kwenye silaha za hatari zaidi zisizo na mipaka.

Mfano ni Covid-19. Ndio wanajikita huku sasa
Acha upuuzi kutupotezea muda
 
Unamanisha hii?
 
Back
Top Bottom