Nini kitatokea duniani baada ya vita ya 3 ya dunia ya nyuklia

Nini kitatokea duniani baada ya vita ya 3 ya dunia ya nyuklia

ndonger

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
898
Reaction score
1,649
Kuna watu wanashabikia ila hiki ndicho kitakachotokea;

Fikiria nchi mbazo ni superpower ambazo zinaumiliki wa silaha za nyuklia zitakapoamua kupigana kwa kutumia silaha hizo. Mfano;

*USA ana zaidi ya mabomu 8000+
*Russia 10000+
*UK 5000+
*France 2000
*China7000+
Etc etc etc

Huyu ambaye ni hatari zaidi US, yeye sababu ya ubabe ameyatapakaa haya madude karibu pande zote za dunia kwenye base zake na mengne yanarindima chini ya bahari huko kwenye manyambizi yenye uwezo kwa silaha hizo. Mrusi nae hayuko mbali.

Na unaambiwa kwa sasa silaha hizi zina nguvu mara 600 ya yale atomic bombs ya Hiroshima na Nagasaki. Wanasema kwamba, hizi nchi zina mifumo ambayo ni "Spontaneous". Yaani endapo mmoja akafyatua basi nchi nyingne automaticaly linajifyatua kuelekea kwenye nchi nyingne.

Sasa endapo itatokea vita hii na hawa jamaa wakatumia haya madude,

1. Kwanza hizo nchi zitafutika kabisa kwenye uso wa dunia.

2. Madhara na athari zitatapakaa dunia nzima

3. Itatokea wingu zito dunia nzima ambalo litabadili hali ya hewa kwa muda wa miaka 40, mvua za asidi na barafu kumwagika kila kona ya dunia. Sababu kuna wingu zito kutokana na moshi wa mabomu utaziba miale ya jua kufika duniani, kwa hiyo kutakuwa na baridi la ajabu.

4. Hakuna mmea utaota.

5. Vyanzi vya maji vitakuwa ni sumu.

6. Mionzi ya nuclear itatapakaa dunia nzima.

7. Njaa itatawala dunia nzima.

8. Huku kwetu ambako kutakuwa hakujaathirika kimajengo kutakua na njaa kali, hewa za sumu, Barid kali, magonjwa ya ajabu ajabu, kuwehuka akili, wahamiaji toka nchi zilizoathirika watajaa huku na itakuwa vita ya chakula na hifadhi, ubabe na unyama.

9. Baada ya miaka 50 dunia itaanza jisawazisha tena kwa mimea kuanza ota, baada ya miaka 100 dunia itakuwa msitu mkubwa sababu sheria kali za kutunza mazingira zitawekwa.

10. Idadi ya watu duniani itashuka kutoka watu bilioni 7 mpaka bilioni 1. Vifo vya magonjwa kama Kansa, njaa, Ukimwi. Ebola, Kipindupindu, Ukoma vitatamalaki.

Zaidi, zaidi, na zaidi.

Kwaiyo ndugu, tusiombee hata siku moja hao mabwana wazichape.

Shalom shalom.

9.
 
Kuna watu wanashabikia ila hiki ndicho kitakachotokea

Imagine nchi mbazo ni superpower ambazo zinaumiliki wa silaha za nuclear zitakapoamua kupigana kwa kutumia silaha hizo mfano

*USA ana zaid ya mabomu 8000+
*Russia 10000+
*UK 5000+
*France 2000
*China7000+
Etc etc etc

Huyu ambae ni hatar zaid US.. yeye sababu ya ubabe ameyatapakaa haya madude karib pande zote za dunia kwenye base zake na mengne yanarindima chin ya bahar huko kwenye manyambiz capable kwa silaha hizo..

Mrusi nae hayuko mbali..

Na unaambiwa kwa sasa silaha hiz zina nguvu mara 600 ya yale atomic bombs zaa hiroshima na nagasaki

Wanasema kwamba.. hiz nchi zina mifumo ambayo ni spontaneous. Yaan endapo m1 akafyatua basi nchi nyingne automaticaly linajifyatua kuelekea kwenye nchi nyingne.

Sasa endapo itatokea vita hii na hawa jamaa wakatumia haya madude...

1. Kwanza hzo nchi zitafutika kabisa kwenye uso wa dunia.

2.madharavna athar zitatapakaa dunia nzima

3.itatokea wingu zito dunia nzima ambalo litabadili hali ya hewa kwa muda wa miaka 40.. mvua za acid na snow kumwagika kila kona ya dunia sabab kuna wing zito kutokana na moshi wa mabomu utaziba miale ya jua kufika dunian kwahyo kutakua na barid la ajabu

4.hakuna mmea utaota

5.vyanzi vya maj vitakua ni sumu

6.mionz ya nuclear itatapakaa dunia nzima

7.njaa itatawala dunia nzima

8.huki kwetu ambako kutakua hakujaathirika kimajengo kutakua na njaa kali.. hewa za sumu. Barid kali.. magonjwa ya ajabi ajabu.. kuwehuka akil.wahamiaj toka nchi zilizoathirika watajaa huku na itakua vita ya chakula na hifadh .. ubabe unyama

9.baada ya miaka 50 dunia itaanza ji balance tena kwa mimea kuanza ota.. baada ya miaka 100 dunia itakua msitu mkubwa sabab sheria kal za kutunza mazingira zitawekwa..

10.idad ya watu dunian itashuka kutoka watu 7bilion to 1bilion...Vifo vya magonjwa kama kansa.. njaa.. ukimw. Ebola.. kipindupindu , ukoma.. vitatamalak..

More more more

So ndugu.. tusiombee hata sku1 hao mabwana wazichape.

Shalom shalom

9.
Acha uongo,hayo maono yako umeyathibisha kwa lipi. Usiwaogopeshe mahasimu,acha waoigane wauwane waafrika tuna jambo letu.
 
Nadhan Ndo utakua mwisho wa dunia,
Sijajua watu wa dini wamelizungu ziaje hili au biblia&quaran vimelisahau?
 
Angalia series iitwayo THE 100 itakupa picha halisi ya after nuclear war.
 
Idadi ya Mambomu ya Nuclear umeexgrate..
USA-4500
Russia-5000
Inch nyingine zipo bolow zaidi ulivyo andika
 
Acha tufe tuuu, kuna watu walishaifanya hii dunia Mali yao
 
Back
Top Bottom