FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Piga namba hizi unichambe vizuri: Call: +255787668306
Piga namba hizi unichambe vizuri: Call: +255787668306
wewe kama nani unawapangia kwenye usalama w nchi ya yao na umeshindwa hata kulilinda bara lako na nchi yako tuu mwenyewe nyambaffu.North korea hawez jaribu hata siku moja mvamia South Korea, akijaribu tu bas ajue ndo itakuwa mwisho wa utawala wa Kim Jong Un, mana USA atatumia mgongo huo kuweka chini ya himaya yake makombora ya NK,
Vita haitakuwa ngumu, sio China akiisaidia NK mara ataogopa vikwazo vya USA kama ilivyo kwa Russia, Russia wa kumsaidia nae anachinjwa huko Ukraine
hujakoma naona umefunguliwa.Piga namba hizi unichambe vizuri: Call: +255787668306
Nililikoma ziwa la mama tu.hujakoma naona umefunguliwa.
Kwamba Israeli ya sasa ni sawa na ile ya 1967?Mataifa yote muda huu yanaogopana.Kuanzia Israel mpaka Nkorea.Subiri uchokozwe ujibu .Usijaribu kutibua wenzako mambo yanaweza kukugeukia. Unapotaja Marekani unaitaja kama ndio ile ya zamani.Kwa sasa hana uwezo wa kuwasaidia marafiki zake.Wote wataishia kupata ahadi hewa.
Israel naye asijisahau mataifa ya kiarabu sasa sio sawa na yale ya mwaka 1967..
Hahaha Tata. Hili tusi limenikumbusha mbali sana
Mchambuzi wa kimataifa ktk ubora wakoNorth korea hawez jaribu hata siku moja mvamia South Korea, akijaribu tu bas ajue ndo itakuwa mwisho wa utawala wa Kim Jong Un, mana USA atatumia mgongo huo kuweka chini ya himaya yake makombora ya NK,
Vita haitakuwa ngumu, sio China akiisaidia NK mara ataogopa vikwazo vya USA kama ilivyo kwa Russia, Russia wa kumsaidia nae anachinjwa huko Ukraine
Kuna hali isiyo ya kawaida inaendelea duniani.
Ukifuatilia majarida na TV za nchi mbali mbali utakutana na yafuatayo.
North Korea yasema inajiandaa na kuivamia South kivita, haya ni maelekezo ya Rais Kim kwenda kwa wanajeshi, kuwa wajiandae kivita.
Hayo yakijili, South Korea wameanza Utayari kwa wananchi wote kwa kwenda palipo Mahandaki karibu. Ikumbukwe kuwa North Korea ana lengo la kumuondoa Marekani maeneo ya karibu naye
Nchi za Kiarabu zimewataarifu raia wake walio Lebanon waondoke mapema, maana kuna kila dalili za vita kati ya Israel na Hezbollah
Taiwan nayo imepewa misaada ya kivita hivi karibuni ili iweze mkabili China ambaye kaapa lazima Taiwan iwe nchi moja na China

Mataifa gani ya Kiarabu yaipinge Israel? Hawa wanafiki wa sasa hawana kizazi cha kina Hafez al Assad na Anwar Sadat.Mataifa yote muda huu yanaogopana.Kuanzia Israel mpaka Nkorea.Subiri uchokozwe ujibu .Usijaribu kutibua wenzako mambo yanaweza kukugeukia. Unapotaja Marekani unaitaja kama ndio ile ya zamani.Kwa sasa hana uwezo wa kuwasaidia marafiki zake.Wote wataishia kupata ahadi hewa.
Israel naye asijisahau mataifa ya kiarabu sasa sio sawa na yale ya mwaka 1967..
haahaa kweli bibi umepagawa.Nililikoma ziwa la mama tu.
Wewe bado unayonya ziwa la mama'ko?
by the way unaendeleaje lakini tulikumis sana.Nililikoma ziwa la mama tu.
Wewe bado unayonya ziwa la mama'ko?
Nimewaambia watu huko juu,Hapo kwa China na Taiwan bado sana. China muoga wa vita hataki kuharibi uchumi wake
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kupigana vita vya nje nje..nchi nyingi hazina huo uthubutu.Nchi ambazo zinaweza zikahamsha dude bila woga bila wasiwasi ni US na Russia tu....nafikiri ndo nchi ndani ya miaka 30 iliyopita zimepigana vita vingi sana...
Nchi nyingine waoga waoga ......US akiamua kuamsha dude ni mwendo mdundo, Urusi wakiamua mwendo mdundo....Israel ni level ya vikundi vya kigaidi huko
NK anahitami attention tu. Hana Nia na wala Hana uwezo wa kivita dhidi ya SK.North korea hawez jaribu hata siku moja mvamia South Korea, akijaribu tu bas ajue ndo itakuwa mwisho wa utawala wa Kim Jong Un, mana USA atatumia mgongo huo kuweka chini ya himaya yake makombora ya NK,
Vita haitakuwa ngumu, sio China akiisaidia NK mara ataogopa vikwazo vya USA kama ilivyo kwa Russia, Russia wa kumsaidia nae anachinjwa huko Ukraine
Uchambuzi wako una ukakasi.North korea hawez jaribu hata siku moja mvamia South Korea, akijaribu tu bas ajue ndo itakuwa mwisho wa utawala wa Kim Jong Un, mana USA atatumia mgongo huo kuweka chini ya himaya yake makombora ya NK,
Vita haitakuwa ngumu, sio China akiisaidia NK mara ataogopa vikwazo vya USA kama ilivyo kwa Russia, Russia wa kumsaidia nae anachinjwa huko Ukraine
Hii nchi iko na wapuuuzi wengi sana..nadiriki kusema wewe ni mmojawapo...hata lini utabaki kuitwaa nyani mtu mweusi?umekalia ugali kuogopa ogopa hao wapumbabu waliwafanya babu zako watumwaa..watu kama nyie mnapaswaa kuchinjwaa hadharani..*** youNorth korea hawez jaribu hata siku moja mvamia South Korea, akijaribu tu bas ajue ndo itakuwa mwisho wa utawala wa Kim Jong Un, mana USA atatumia mgongo huo kuweka chini ya himaya yake makombora ya NK,
Vita haitakuwa ngumu, sio China akiisaidia NK mara ataogopa vikwazo vya USA kama ilivyo kwa Russia, Russia wa kumsaidia nae anachinjwa huko Ukraine