Tofauti kubwa ya kimaendeleo kati ya watu haitokani na wingi wa rasilimali walizonazo, bali uwezo wao wa kuzitambua na kuzitumia vizuri.Kaka mbona mnaandika shortly
Katikati ya ujinga na uerevu Kuna maisha. Utanikuta hapo.
True True kua mchambuzi wa mambo kunakufanya ugundue vingi vizuri au vya kukeraHapo katikati ndipo penye amani halisi, kwani uerevu uliopitiliza huleta msongo wa mawazo wakati ujinga mtupu huleta upofu.
Kusimama katikati kunamaanisha kuwa na akili ya kutosha kujilinda, lakini pia kuwa na utulivu wa kujifanya hujui mambo fulani ili tu kulinda amani yako ya akili.
Ni eneo salama ambapo huchagui kila vita, hubishani na kila mtu, na unafurahia maisha bila kubeba mizigo mizito ya kidunia.
Ni kwa sababu uchambuzi unakulazimisha kuona ukweli uliofichika nyuma ya pazia la kawaida.True True kua mchambuzi wa mambo kunakufanya ugundue vingi vizuri au vya kukera
Na pia watu mara nyingi hupenda watu wasioweza kufikiri kwa kina kuepka challenge
Umemaliza 🙏🙏Ni kwa sababu uchambuzi unakulazimisha kuona ukweli uliofichika nyuma ya pazia la kawaida.
Unapochimba kwa undani, unagundua unafiki, nia mbaya, na mapungufu ambayo watu wengi hawayaoni, jambo linaloweza kuondoa furaha ya mambo rahisi maishani.
Hata hivyo, uzuri wake ni kwamba unapokutana na kitu chenye wema au ubora wa kweli, unakithamini kwa dhati zaidi kwa sababu unajua jinsi kilivyo adimu kupatikana duniani
Hivi wale wa wamilki wa vilinge na wateja wao wanaangukia wapi - wasio na Maarifa au wenye akili na busara?Rasilimali, fursa, au mazingira yaliyopo yanaweza kutumiwa vibaya au kupuuzwa na watu wasio na maarifa (wajinga), lakini watu wenye akili na busara (werevu) huyatumia hayo hayo kujipatia mafanikio na faida.
Hivi wale wa wamilki wa vilinge na wateja wao wanaangukia wapi - wasio na Maarifa au wenye akili na busara?
Hiyo naiafiki.Hakuna jibu la mkato la kuwaweka watu hawa kwenye kundi moja la "wasio na maarifa" au "wenye akili na busara."Ukweli ni kwamba, tabaka zote mbili (wasio na shule na wasomi/wenye akili) wanapatikana kwenye vilinge vya waganga, lakini kwa sababu tofauti kabisa.
When you see something you can't unsee itNi kwa sababu uchambuzi unakulazimisha kuona ukweli uliofichika nyuma ya pazia la kawaida.
Unapochimba kwa undani, unagundua unafiki, nia mbaya, na mapungufu ambayo watu wengi hawayaoni, jambo linaloweza kuondoa furaha ya mambo rahisi maishani.
Hata hivyo, uzuri wake ni kwamba unapokutana na kitu chenye wema au ubora wa kweli, unakithamini kwa dhati zaidi kwa sababu unajua jinsi kilivyo adimu kupatikana duniani
Tuseme dunia ni ya Waafrika na ulimwengu ni wa Wazungu. Angalia walivyotudanganya na dini zao, tubaki tunaangalia juu angani kumsubiri Yesu atupeleke mbinguni.Rasilimali, fursa, au mazingira yaliyopo yanaweza kutumiwa vibaya au kupuuzwa na watu wasio na maarifa (wajinga), lakini watu wenye akili na busara (werevu) huyatumia hayo hayo kujipatia mafanikio na faida.
Ndo maana matatizo hayaishi miaka na miaka sababu wajinga ni wengiNa kibaya zaidi Dunia ina wajinga wengi zaidi , kuliko werevu waliopo ulimwenguni
Mafundisho yako wengine tunatumia kama shule toka tunajiunga JF miaka hiyo cha ajabu siku izi mmewaacha vijana watambe (Gen Z) na wanatulisha matango pori mpaka sisi wengine sasa hivi mnaruhusu vipi haya yatokee na wazee bado mpo?Rasilimali, fursa, au mazingira yaliyopo yanaweza kutumiwa vibaya au kupuuzwa na watu wasio na maarifa (wajinga), lakini watu wenye akili na busara (werevu) huyatumia hayo hayo kujipatia mafanikio na faida.
Nadhani ni mahitaji ya nyakati na nguvu waliyo nayo vijana.. Wanaenda kasi mno.. Shida moja hawapendi vitu vigumu na vya kufikirisha na ni wepesi sana kukimbilia akili mnemba.. Kushughulisha bongo zao hiyo sio shida yao kabisa! Wanapenda mno ready made solutionsMafundisho yako wengine tunatumia kama shule toka tunajiunga JF miaka hiyo cha ajabu siku izi mmewaacha vijana watambe (Gen Z) na wanatulisha matango pori mpaka sisi wengine sasa hivi mnaruhusu vipi haya yatokee na wazee bado mpo?
Nadhani kwa Tanganyika ni special case..! Tulipokosea pakubwa ni pale tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko weledi, kuliko taaluma!Ndo maana matatizo hayaishi miaka na miaka sababu wajinga ni wengi
Dini ni kitu cha kibinafsi zaidi.. Kuna siasa..!Tuseme dunia ni ya Waafrika na ulimwengu ni wa Wazungu. Angalia walivyotudanganya na dini zao, tubaki tunaangalia juu angani kumsubiri Yesu atupeleke mbinguni.
Umesema kweli kabisa!Umesema kweli , fursa zipo kila mahali, lakini zinahitaji eagle eyes kuziona.
Wengi huwa wanapoteza muda mwingi kwenye mediocrity , lakini opportunities haziendi kwa mwenye bahati, huwa zinaenda kwa yule aliyejiandaa kuzitumia.
It’s all about the mindset!