Dunia ya sasa imani kwa watu imekwisha

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,802
34,189
Imaan imekwisha Mama anapiga picha badala ya kumuokoa huyo mama kweli hii dunia ya mwisho.jpg

Badala ya Kumuokowa Huyu mama mwenye mtoto anampiga Picha? Lohhhhh Hatari sana huku tunakokwenda.
 
Hii kwenye psychology inaitwa bystander effect, mtu akiwa na shida mnabaki kuangaliana nani atakua wa kwanza kujaribu kumsaidia, au kama wote mtasimama tu mnajifanya kusubiri mamlaka husika. Hapo moja tu angetamka tumsaidie kila moja angekomaa kumsaidia huyo mtu.

Simshangai sana huyo mama kabeba mtoto kuliko navyomshangaa huyo kijana pembeni na yeye anaonekana kama kashika simu, na aliyepiga hii picha naye walewale, hawa followers wa kim kardashians kweli wanatupeleka pabaya.

Sema pia tuconsider hilo pozi la huyo mtu, kama bado mzima unaweza kuta hilo chuma limeingia ndani ya mwili, maana yake hicho chuma ndo kitu kinachompa uhai wakati huo, wangesema wamtoe damu ika~leak, kulingana na eneo waliopo lazima angekufa hajafika popote, hata kama kuna doctor ndani ya bus sidhani kama angeweza kumsadia kuzuia blood leakage kwenye mazingira kama hayo.
 
du, nawe mleta mada pia hii picha uliipata kwa kupiga badala ya kusaidia kuokoa....hata wewe ni wale wale tu!
 
Huyo ni dereva upande wke umeporomoka hadi kutokea kwny tair au kagonga mtu tu!maana jana kuna wamama ktk hiace walikaa siti ya nyuma wakaporomoka hadi nje ya lami maana mlango wa nyuma mbovu na siti ilishakatika.huo mzinga wake nilijua kontena la sukari limeanguka au gari la TBL
 
Mungu wangu.Kuna vitu ambavyo huwezi mtu kuvifanay Dah!
 
Back
Top Bottom