Shabaaaash....... kweli dunia tambara bovu
Huo ni mtihani mkuu wamepewa wale ambao Mungu amewapa,kama huyo anatakiwa asaidiwe na wewe ambaye mf:umebarikiwa kusoma na kupata kazi nzuri,familia nzuri na una afya njema...huyo sometimes hapo hajala,hajajivika nguo kama una sifa hizo hapo juu ni sharti angalao umpeleke kwa mamantilie akale,mnunulie shati hata la mtumba(nimesema mfano) ila binaadam sikuhizi imani wala huruma hatuna ndio mana dunia tunaiona haina usawa.Kuna ule msemo kwamba Mungu hana upendeleo, binafsi hata sasa sijawahi kuielewa
Namshukuru Mungu amenipa moyo Wa huruma na kusaidia mwingine kile kidogo nilicho nacho, na ndio maisha yanguHuo ni mtihani mkuu wamepewa wale ambao Mungu amewapa,kama huyo anatakiwa asaidiwe na wewe ambaye mf:umebarikiwa kusoma na kupata kazi nzuri,familia nzuri na una afya njema...huyo sometimes hapo hajala,hajajivika nguo kama una sifa hizo hapo juu ni sharti angalao umpeleke kwa mamantilie akale,mnunulie shati hata la mtumba(nimesema mfano) ila binaadam sikuhizi imani wala huruma hatuna ndio mana dunia tunaiona haina usawa.
Inapendeza kufanya hivyo,unajiwekea hazina nzuri sana...hongera mkuu.Namshukuru Mungu amenipa moyo Wa huruma na kusaidia mwingine kile kidogo nilicho nacho, na ndio maisha yangu