Dunia ya Leo: raha jipe mwenyewe

Hahahah anazirudi kufurahisha nafsi hiii hahaha nakumbuka kuna siku nlikua nazirudi mwenyewe tena kwa radio farkhina mie heee mda si mrefu dada uyo mara aunt huyo hahahhaha mwisho nlipata wateja kama 6 hadi cousion yangu 4 years old......i was fun nkikumbuka nachekaaa
 

Hope mliweka ule wimbo was UB 40- red red wine...!
 
Natamani kujua alikuwa anacheza mziki gani...! Wallah kuna watu hawatakufa kwa pressure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…