Dunia tunapita

Dunia tunapita

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,221
nyimbo ya samba mapangala naitafuta nimeenda google chenga tupu msaada please.
 
Ahahahaah! Namkumbuka marehemu Mzee wangu. Aliupenda sana huo wimbo.

........kila kitu ufanyacho lazima upitie kwa waganga........pesa zako hupatia, kina dada watafuta jina ama vipi........ kampuni sio yake wala yangu ni ya muzuuungu.... baba wapeeee, haki zaoooo,...wana matumizi piaaaa........
 
tehe, pole, mkuu iyo song haichuji.
 
Back
Top Bottom