Dunia sio duara!


Nikueleze tu kuwa sitajibizana na wewe tena. Nahitaji kuelewa kwanza kama uko sawa upstairs!!!!
 
Nikueleze tu kuwa sitajibizana

Kwani hapa tunabishana/jibizana?
Nahitaji kuelewa kwanza kama uko sawa upstairs!!!!
Absolutely... niko sawa kabisa!!

Labda tumepishana tu, naamini umeni quote kimakosa!! labda unisaidie nini ambacho hujaelewa?
 
Nikueleze tu kuwa sitajibizana na wewe tena. Nahitaji kuelewa kwanza kama uko sawa upstairs!!!!

Mkuu ni kitu gani kimekufanya ukamuuliza huyu jamaa swali hili?
 
:what:
 

Attachments

  • 1397848174037.jpg
    95.1 KB · Views: 564
1.circumnavigation of the earth
2.Ship visibility
3.Sun set and Sun rise
4.Lunnar Eclipse
5.Aerial Photograph
6.Earth's curved horizon.
 
Mkuu si ndio wewe ulimpiga picha jini sijui mlikutania wapi?
 
Mkuu niliwahi kusikia kuna tour za kwenda kwenye space na gharama yake si Chini ya dola mil. 50. Fanya kazi, tafuta hizo pesa ukahakikishe
 
Kwa hiyo ukienda mwisho wa dunia unadondoka? Au kuna ukuta?
Hapana mkuu sisi tupo nje ya Dunia na siyo ndani.....mfano wa mpira tupo nje na si ndani.....kwani ndani ni udongo...........
 
Mkuu niliwahi kusikia kuna tour za kwenda kwenye space na gharama yake si Chini ya dola mil. 50. Fanya kazi, tafuta hizo pesa ukahakikishe
Siwezi kwenda kuhakikisha dunia ambayo haipo
 
Yaani kwenye huu uzi nimecheka mpaka nahisi kuumwa lol.

Huyu mleta mada ukimuita kwa jinsia yake hatoikubari mpaka kwanza ajichungulie katikati ya miguu yake pako vipi ndio aitike.
 
Worry not.
You are in the first step of learning how to make low level arguments.At first I thought you knew the meaning of 'imebainika'
 
Nyie chezeni tu mtakuja kukosa na swali la darasa la kwanza.Hebu niwaulize
1-1=?
 

hii kitu inaitwa "circumnavigation of the earth"
 
ukiangalia
* sunrise and sunset-ingekuwa na shape flat dunia nzima tungeexperience mchana na usiku kwa pamoja
kuna mdau kazungumzia safari..ukitoka point moja ukatravell non-stop in the same direction utajikuta umerudi palepale..hii ni
*circumnavigation of the earth
au nenda posta kaangalie meli ikiwa inakuja tokea mbali utaanza ona moshi..then bomba la moshi..mara hiyo meli nzimaa inatokea
*ship's visibility
ombea ubahatike kuona kupatwa kwa mwezi utaona kivuli/taswira ya dunia kilivyo duara tenge
*lunar/moon eclipse
au piga picha katika aerial/bird eye view utaona uduara wa taswira kimuonekano
*aerial photograph
kaa juu ya ghorofa then itazame taswira ya dunia hadi mwisho wa upeo wa macho yako..
.....*vertical horizon
......................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…