Dunia si kijiji ni kubwa

Dunia si kijiji ni kubwa

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Mie nashangaa mkisema Dunia ni kijiji!!! Nakataaa!!! Kama Dunia ni kijiji iweje NDEGE ipotee kijijini siku ya 5 leo haijaonekana?????
 
sasa hiki nacho kichekesho?

dunia kuwa kijiji kumbe wengi hawaelewi maana yake??
 
Back
Top Bottom