Dunia nzima wanamuogopa

Unajuaje kama Fundi cherehani wake kaelekezwa ashone hivyo hizo nguo?
 
Muacheni apumzike kwa amani
 
Kwa hiyo hata mke anayemshika nyeti naye anamuogopa?
 
Huyu mbaba suruali zake tyuuuh mie hoi lol,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila MTU na mawazo yake.Huwa namuona ni 'mtoto' aliyedekezwa na hajui kuheshimu wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…