Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Salamander Mkuu kwa kua huyo mtu humfahamu kwa heshima yake bora uitoe hii picha, sababu ni moja tu, najua umeweka hapa coz unadhania ni mwanaume shoga lakini unasahau kua wapo wanawake ambao wana hormonal imbalance ambao miili yao inaota nywele kama mwanaume, na ni wengi tu, sasa kama huyu ni mwanamke unakua umemkosea heshima na itamuuma.. Unless una uhakika 100% kua ni mwanaume which am sure you don't coz ni random pic umetoa online. Jaribu kuangalia kitu katika pande zote mbili
uko sawa kabisaSalamander Mkuu kwa kua huyo mtu humfahamu kwa heshima yake bora uitoe hii picha, sababu ni moja tu, najua umeweka hapa coz unadhania ni mwanaume shoga lakini unasahau kua wapo wanawake ambao wana hormonal imbalance ambao miili yao inaota nywele kama mwanaume, na ni wengi tu, sasa kama huyu ni mwanamke unakua umemkosea heshima na itamuuma.. Unless una uhakika 100% kua ni mwanaume which am sure you don't coz ni random pic umetoa online. Jaribu kuangalia kitu katika pande zote mbili
Mh alipiga picha ya nini sasa na kuruhusu isambae..
Tena akiwa mwenye tabasamu pana