Dunia kushambuliwa na nyota!

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,583
4,319
SOMA LINK HAPO CHINI WANA SAYANSI MAREKANI WANASEMA DUNIA HUENDA IKAKUMBWA NA DHORUBA YA KUSHAMBULIWA NA VIMONDO(COMETS) AMBAVYO VITATUPWA DUNIANI KUTOKANA NA NGUVU YA UVUTANO INAYOSABABISHWA NA YA NYOTA YA NEMESIS INAPOKUWA INAJIZUNGUSHA YENYEWE KWENYE GALAXY.
INAAMINIKA NYOTA YA NEMESIS INALIZUNGUKA JUA KATIKA UMBALI WA MARA 25000 ZAIDI YA UMBALI WA KUTOKA KWENYE DUNIA KWENDA KWENYE JUA.
HAYA SASA NA HIYO HABARI TOENI.
http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/2889372/Earth-under-attack-from-Death-Star.html
 
Somi bwana, unaamini mambo ya the sun? na ya kwenye uwazi pia unayaamini?
 
Somi bwana, unaamini mambo ya the sun? na ya kwenye uwazi pia unayaamini?

nkamangi usilinganishe the sun na uwazi, ni vitu wiwili tofauti kabisa, wazungu wana andika habari kutokana na ushahidi wenye nguvu ,uwazi wana andika habari ili wauze magazeti yao hawana ushahidi wowote
 
Mimi nilishakuwa na habari ya hii maneno kwa muda mrefu sana.
Revelation 9

1And the fifth angel sounded, and I saw a star fall from heaven unto the earth: and to him was given the key of the bottomless pit.
 
nkamangi usilinganishe the sun na uwazi, ni vitu wiwili tofauti kabisa, wazungu wana andika habari kutokana na ushahidi wenye nguvu ,uwazi wana andika habari ili wauze magazeti yao hawana ushahidi wowote

Tabloid ni tabloid hata aandike mzungu, ukitaka kuni-convince get me evidence from a scientific journal
 
nkamangi usilinganishe the sun na uwazi, ni vitu wiwili tofauti kabisa, wazungu wana andika habari kutokana na ushahidi wenye nguvu ,uwazi wana andika habari ili wauze magazeti yao hawana ushahidi wowote

The Sun
na Uwazi yote ni magazeti ya udaku... tofauti ni kuwa moja lipo Europe na lingine lipo Afrika.
 
mimi nilishakuwa na habari ya hii maneno kwa muda mrefu sana.
revelation 9

1and the fifth angel sounded, and i saw a star fall from heaven unto the earth: And to him was given the key of the bottomless pit.

"kwenye imani ya dini ya kikristo"
tutubu madhambi yetu binadamu ama sivyo tutaangamizwa
 
SOMI u need to be very care full with these things.. u know every discovery has to be done by them only ...did u ask urself why.. its because they have a world wide media coverage.. we have professors here..what did they discover anyway.. i know they have done something... but who knows anything about TBC, ITV, C2C, CHANEL5, CHANEL 10. its me and u they dont know about this rabish... who told u that the americans visited the moon? its themselves through CNN, its their media but widely watched...if u need proof then they will prove but i know TBC WILL NOT DISAPROVE WHAT THEY SAY brother wake up...
 
Tabloid ni tabloid hata aandike mzungu, ukitaka kuni-convince get me evidence from a scientific journal

Nakuunga mkono,

First off, you just don't get your science news from "The Sun". Nikiisoma hiyo article naona makosa na distortions kibao. Yaani ukisoma article kama huna a good understanding of the electromagnetic radiation spectrum unaweza kufikiri kuna nyota zinatoa visible light tu, na nyingine zinatoa infrared light tu. Infrared light is largely heat, sasa ukisoma unaweza kufikiri kwamba nyota nyingine hutoa mwanga tu na nyingine kama hii mythical Nemesis hutoa joto bila mwanga.Ukweli ni kwamba nyota zote zinazotoa visible light zinatoa infrared pia. Hawa jamaa kazi yao ni ku sensationalize kitu chochote ili kuuza magazeti.


Nemesis is an unobserved, the theory is untested and has not been reviewed . Walianza kwa kusema ni nyota pacha ya jua letu (binary) observation technology ilivyoboreka wakasema ni "brown dwarf". Ushahidi mkubwa kwamba hii nemesis ni myth ni ukweli kwamba haijaonekana mpaka leo, kwa telescopes, radioscopes na heat sensors zilizopo leo tungeshaweza kui detect brown dwarf iliyo half a light year away kwa kutumia 2MASS or a similar probe.

The story leaves a lot to be desired. We have some more ralistic threats of this nature, but this to me remain a myth.


Some more realistic apocalyptic threats and anecdotes on comets/ asteroids

1950 DA Hii ni Asteroids ambayo baada ya mizunguko 15 zaidi ya karibu na dunia yetu inaweza kugongana na dunia hii.Kama hili litatokea kitabu cha ufunuo wa Yohana kitaonekana kama hadithi za watoto.

Hii ndiyo case pekee inayojulikana ya Asteroid kubwa yenye a non zero chance of hitting the earth, na calculation zinaonyesha itakuja karibu na dunia in March of 2880

Ilizaniwa kwamba Asteroid 1997 XF11 had a small but non zero chance of hitting earth in 2028, but this is now corrected to a zero chance.

The Asteroid Apophis was thought to have a non zero chance of hitting the earth in 2029, but this is now reduced to zero, there is still of concern about a slightly more chance of Pophis hitting the earth in it's next sojourn in 2036

See http://www.spacedaily.com/reports/Z...arth_In_2029_Says_Russian_Astronomer_999.html

The asteroid 2006 HZ51 was supposed to hit us in June 2008, obviously it didn't.

There is a probability of 1 in 800,000 for an extinction level event (i km or more) asteroid to hit the earth in any given year.This means this only happens on average once every 800,000 years. A 200 metres object strikes once every 100,000 years and a 40 metres object strikes once every 1,000 years

The U.S Congres directed NASA to identify by 2008, 90% of all asteroids and comets more than one km (low probability and high consequence) in diameter with orbits approaching earth.By 2004, the US was the only nation in the world doing anything about the possibility of asteroid impacts, I am not sure if this has changed since then.

On June 30th 1908 in Tunguska Siberia, an asteroid about 55 metres fell on earth and detonated above the surface there, with a force of 800 Hiroshimas, similar to a magnitude 8 earthquake, eight hundred square miles of Russian woodland were incinerated in seconds

I am looking for a table with the names, periodicity and impact probability of all known asteroids posing a threat.

Source
Mostly "A Comet's Tale: On the Science of Apocalypse" some places verbatim.
 
Back
Top Bottom