Dunia ingekuwa kama wahazabe, amazonian, mursi tWakuu hili swali huwa najiuliza sana, kwamba hii dunia ingekuwaje bila hawa watu. Mambo mengi katika hii dunia wao ndo wagunduzi kuanzia mambo ya teknolojia, kieletroniki, sayansi na mengine mengi wakati Africa hakuna kitu cha maana chochote tulichofanya wakati white people ndo walioifikisha dunia hapa ilipo.
Hivi bila hawa jamaa ingekuwaje?
Tungekuwa kama Wamasai, wahazabe, Amazonian s,mursi, hotentals na wale Kule mvumi DodomaWakuu hili swali huwa najiuliza sana, kwamba hii dunia ingekuwaje bila hawa watu. Mambo mengi katika hii dunia wao ndo wagunduzi kuanzia mambo ya teknolojia, kieletroniki, sayansi na mengine mengi wakati Africa hakuna kitu cha maana chochote tulichofanya wakati white people ndo walioifikisha dunia hapa ilipo.
Hivi bila hawa jamaa ingekuwaje?
Soma vizuri historia yako kuhusu Africa kabla before ChristWakuu hili swali huwa najiuliza sana, kwamba hii dunia ingekuwaje bila hawa watu. Mambo mengi katika hii dunia wao ndo wagunduzi kuanzia mambo ya teknolojia, kieletroniki, sayansi na mengine mengi wakati Africa hakuna kitu cha maana chochote tulichofanya wakati white people ndo walioifikisha dunia hapa ilipo.
Hivi bila hawa jamaa ingekuwaje?
Kuna sayari zinaishi viumbe, wana akili kuliko wazungu...!
Siyo kweli ni bora ungerekebisha swali lako na kuuliza Dunia ningekuwaje bila ya Binadamu? Kumbuka kwamba kila ukionacho leo hii kilikuwepo tangu kale na sasa hivi kinachofanyika ni kuboresha tu, hivyo ingawaje Wazungu au watu wa Magharibi leo hii ndiyo wenye uchumi mkubwa Duniani na kuongoza kwenye mambo ya Sayansi na Teknolojia lkn pia wamejifunza/kuchukua au niseme kuendeleza mambo mengi sana ktk jamii nyingine!
Hawa jamaa wanatuona sisi mbwiga sana. Ninakumbuka wakati nilisikia kesi ya kaka wa kichaga, alikwenda kufanya PhD Uingereza, walimpa thesis ngumu sana ambayo wanafunzi wengi waliishindwa, mchaga aliipasua, hawakuamini, walimwita na kumpa kazi, lakini hawakumpa mshahara wa PhD holder, kaka wa watu aliifikiria ile package, na visa, alikubali. Mke wake alipelekewa barua kutoka mgombani anafika Dar anaambiwa lete passport yako na za watoto mchukue visa zenu.
MUNGU HANA UPENDELEO HATA CHEMBE, SIKU NCHI ZETU ZIKIWA NA MFUMO BORA WA KUENDELEZA VIPAJI, NA KUTOA ELIMU BORA BASI AFRICA TUTAKUWA ZAIDI YA ULAYA. TUMEZIDI KUWA WABINAFSI SANA, KUANZIA KWENYE NGAZI ZA FAMILIA HADI UONGOZI WA NCHI.
Hahahahah umetisha sana mkuuYANGETOKEA YAFUATAYO
1.Jamiiforums isingekuwepo
2.Tusingekuwa na Bombardier
3.Laptop na Smartphone, visingekuwepo
4.Biashara ya kubeti isingekuwepo
5.Tungekuwa na dini pamoja na tamaduni zetu wenyewe.
6.Pale posta pangekuwepo na vichaka vya kuogofya na tusingekuwa na barabara za lami.
7.Tusingekuwa na TANESCO, TCRA, NEC, TBC, n.k
8.Pasingekuwepo na UKIMWI wala CONDOM.
9.Mapenzi yangetegemea hisia za dhati na sii pesa.
10.Nisingekuwa naisubiri game ya Liverpool na Manchester United 17 ya October.
Maisha magumu ndio yanayozalisha watu wabunifuni na wanafalisafa. Maisha legelege na rahisi yanazaa watu legelege pia. maisha ya wazungu na Waasia yalikuwa magumu sana yaliyotawaliwa na baridi kali, utawala wa kibabe, dhuluma, njaa kali, masaa mengi ya kufanya kazi, ujira kidogo, n.k. Maisha ya aina hii yalisababisha wazungu, wachina, wakoroea, nk wawe na ujasiri wa kupambana na maisha yao ili waweze kusurvive. Hata hapa Tanzania ile mikoa yenye maisha magumu ya baridi, milima, ardhi kidogo, kama vile Kilimanjaro, Mbeya, Iringa, Makambako, nk maendeleo yao yana ahueni kulinganisha na maeneo yenye joto, ardhi kibao yenye mbolea, nk kama vile pwani, Dodoma, singida, nk
Utakuwa umesoma history na hivi ndivyo mlivyokuwa mnadanganywa na Pan Africanists!! Nijibu swali moja: Industrial revolution iliyotokea Europe zaidi ya miaka 500 iliyopita, hadi hivi sasa Afrika hatujaifikia pamoja na kwamba tuna kwa kujifunza... NDIYO AU HAPANA? Kama HAPANA, fafanua!Siyo kweli ni bora ungerekebisha swali lako na kuuliza Dunia ningekuwaje bila ya Binadamu? Kumbuka kwamba kila ukionacho leo hii kilikuwepo tangu kale na sasa hivi kinachofanyika ni kuboresha tu, hivyo ingawaje Wazungu au watu wa Magharibi leo hii ndiyo wenye uchumi mkubwa Duniani na kuongoza kwenye mambo ya Sayansi na Teknolojia lkn pia wamejifunza/kuchukua au niseme kuendeleza mambo mengi sana ktk jamii nyingine!
Kusingekuwa na silaha za maangamizi kama ilivyo sasa.Wakuu hili swali huwa najiuliza sana, kwamba hii dunia ingekuwaje bila hawa watu. Mambo mengi katika hii dunia wao ndo wagunduzi kuanzia mambo ya teknolojia, kieletroniki, sayansi na mengine mengi wakati Africa hakuna kitu cha maana chochote tulichofanya wakati white people ndo walioifikisha dunia hapa ilipo.
Hivi bila hawa jamaa ingekuwaje?