Tangu baada ya uchaguzi wa 2015 ni ukweli usiofichika kuwa Demokrasia ya vyama vingi imepitia katika mtihani mkubwa.
Zuio la shughuli za kisiasa kwa vyama pinzani,hamahama ya waliochaguliwa toka upinzani kwenda kuunga mkono juhudi, kesi za hapa na pale, uondoaji wa viongozi wa kisiasa katika halmashauri au majiji yanayoongozwa na upinzani, ukosefu wa jukwaa huru kwa vyama vya upinzani kunadi sera zao na kadhalika.
Tuna miezi minne kabla ya uchaguzi na hakuna dalili za kuiboresha hali zaidi ya kuongeza hofu.
Wakati yote yanafanyika dunia imeelekeza taa yake kubwa kwetu (Makonda kuzuiwa kuingia USA) na mengine.
Tujitafakari na njia tunayochukua. Je, itakuwa na tija kwa Taifa letu?