Palestine ndio magaidi...walishaitwa mezani kusolve mara kibao wanagoma..wao wanataka ardhi yote ili kuwafuta mayahudi.Kama ambavyo Israel inawafanyia ugaidi Palestine...
Watu wengi wameibukia hapa juu kwenye ...... russia kaivamia ukraine.. lakin huwezi kuwalaumu maana somo la historia ni moja tu kati ya masomo mengi. Ukute mleta mada kasoma cookery! Ukweli ni kwamba marekan asipobadiri sera zake za kutaka kuwa kilanja wa dunia, na kujipatia kipato kwa njia ya vurugu, fitina, unyang'anyi na chaos bas aman ya dunia itaendelea kuwa mashakan.TumainiEl mgogoro huu umeanza zamani sana na kufikia kilele 2014 baada ya Marekani kuingilia siasa za ndani ya Ukraine na kuchochea maandamano ya kumtoa raisi halali wa Ukraine siyo huyu kibaraka Zelenskyy . Pitia hapa Ukraine crisis: Transcript of leaked Nuland-Pyatt call
Kwanza utambue Crimea ilikuwa sehemu ya Russia toka 1783 hadi mwaka 1954 pale Raisi Khrushchev wa USSR (Urusi) alipowapataia Ukraine eneo hili.
Kumbuka Khrushchev alikuwa mtu wa asili ya Ukraine, yaani kama hapa Mama Samia achukue Mafia awakabidhi Zanzibar. Sasa ukitaka kuona watu wako wa magharibi na kibaraka wao Zelenskyy wanavyotaka kusababisha vita ya 3 ya dunia wanakataa haki ya watu wa Crimea kurudi kwenye nchi yao mama (Russia). Wanasema lazima waichukue kwa nguvu kivita Crimea iende tena Ukraine.
Hao unaowashabikia wana nadi demokrasia na kututaka nchi maskini tuheshimu matakwa ya wananchi wao hawataki kuheshimu kura ya maoni ya wana Crimea waliochagua kurudi Russia.
Kuanzia 2014 serikali ya Kiev imekuwa ikiwalioua kwa mizinga na kuwauwa kikatili watu wanaotaka kujitenga na Ukraine, Putin kaenda kuwalinda kama vile watu wa magharibi walivyo enda kuwasaidia watu wa Libya waliompnga hadaf au watu wa Cosovo walipotaka kujitenga na Yugoslavia ya zamani. sasa kwanini Russia akifanya kama wao anaonekana katili mpenda vita?
NonsenseUrusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla.
Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia.
Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi yaliazimia kuto tokea madhila mabaya yakivita kama yalio wakuta ktk vita ya dunia ya kwanza na yapili.
Vita na madhila ya Vita yameifanya German kuwa Taifa lililosema vita kwake basi lakini ktk hali yakushangaza sana Urusi ameibuka nakuleta hisia za vita ya tatu ya dunia.
Dunia ipo ktk shock na taarifa zisizo Rasmi USA na washarika wake wanafanya maamuzi magumu huku wakituchekesha.
Yes tafadhali fuwatilia mission zote za Marekani huzifanya while watu wanakula Bata. While usiku kazi kazi.
Nitaendelea.
Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla.
Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia.
Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi yaliazimia kuto tokea madhila mabaya yakivita kama yalio wakuta ktk vita ya dunia ya kwanza na yapili.
Vita na madhila ya Vita yameifanya German kuwa Taifa lililosema vita kwake basi lakini ktk hali yakushangaza sana Urusi ameibuka nakuleta hisia za vita ya tatu ya dunia.
Dunia ipo ktk shock na taarifa zisizo Rasmi USA na washarika wake wanafanya maamuzi magumu huku wakituchekesha.
Yes tafadhali fuwatilia mission zote za Marekani huzifanya while watu wanakula Bata. While usiku kazi kazi.
Nitaendelea.
Mwanzilishi wa hizi chokochoko tuna mjua wala sio RussiaUrusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla.
Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia.
Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi yaliazimia kuto tokea madhila mabaya yakivita kama yalio wakuta ktk vita ya dunia ya kwanza na yapili.
Vita na madhila ya Vita yameifanya German kuwa Taifa lililosema vita kwake basi lakini ktk hali yakushangaza sana Urusi ameibuka nakuleta hisia za vita ya tatu ya dunia.
Dunia ipo ktk shock na taarifa zisizo Rasmi USA na washarika wake wanafanya maamuzi magumu huku wakituchekesha.
Yes tafadhali fuwatilia mission zote za Marekani huzifanya while watu wanakula Bata. While usiku kazi kazi.
Nitaendelea.
Utasubiri sana Hilo kutokea!Muda si mrefu dikiteta Putin atakuwa katika Hali mbaya kama inavyoonekana hapo chini..,Sasa sijui mazombi wake wataficha wapi sura zao [emoji848][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2391107
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio Rais bali ni Waziri mkuu wa USSR. Krushchev na JFK ndio walikuwa na mvutano katika ile Cuban Missile Crisis.Raisi Khrushchev wa USSR (Urusi)