Dunia ina vituko...

huyu anayefanya hivi ni nani?? anamtesa mnyama, haki za wanyama ziko wapi hamani?
 
Mnh! Huyo ni punda wa kweli au sanamu? We Mbuzi Mzee uliwezaje kumvisha jeans bila kuchapwa teke?
Duh! Ila amependeza scaf ya magamba!
 
Last edited by a moderator:
mbona hakuna vituko hapo, cha ajabu kipi?
 
hahaha, haki ya nani huyu akienda zanzibar, wanamla tigo, watajua ni punga...manake watu wa huko wanavyoendekeza mtandao wa tigo,.....dah......

Wanakuja! jiandae umewachokoza mwenyewe!
 
Indeed crazy world! U have made my day!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…