Habari wana MMU,
Kwa mara ya kwanza nimeona mchepuko kani save 'Ahsante' sijashangaa sana si unajua weekend bhana kaacha simu kaenda washroom nikambeep naona ahsante!!
Wewe wako amekusave vp!?? Hata sijui ana maana gani!? Ila malaya malaya tu!😄
Dizain kama iyo maada cjaielewa vzr hiv. kma vp edit uandke upya ieleweke bingwa. wala cjapta pcha what u mean man
Habari wana MMU,
Kwa mara ya kwanza nimeona mchepuko kani save 'Ahsante' sijashangaa sana si unajua weekend bhana kaacha simu kaenda washroom nikambeep naona ahsante!!
Wewe wako amekusave vp!?? Hata sijui ana maana gani!? Ila malaya malaya tu!😄
Wangu nilikuta kanisave Baby4
Kwa hiyo kuna baby 1,2,3, na 4 ni wewe hhhhhaaa