Dunia imekwisha

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,220
DUNIA IMEKWISHA
Kuna Msichana huwa ananikera sana
Kila siku yeye kumpondea na kumtukana Paroko wetu nikijaribu kumwambia aache ni dhambi kuwasonta vidole watumishi wa Mungu ananijibu kwa dharau eti Watumishi walishakufa waliobaki ni wavumishi tu
Kiukweli ijapokuwa ni rafiki yangu nimesoma nae lakini nishamchukia teyari yeye kila nikimwambia bw Asifiwe anasema asifiwe kwani yee nani?
Nikajua usichana unamuaribu lakini Jana Boxing day Kanitumia Picha wanakiss na Paroko katika mavazi ya kulalia.
Sasa LEO SIENDI KANISANI NIPO KWENYE MGOMO BARIDI huku nikiendelea na Uchunguzi Kubaini Ukweli juu ya hilo ili nijue naamia Kanisa Gani.

Huu ujumbe kauweka rafiki yangu. Sijamuunga mkono. Kwasababu zifuatazo

moja Sio mtumishi wa Mungu ataekupeleka mbinguni kwaiyo sioni sababu ya kuhama kanisa.

Pili hata watumishi wa Mungu nao ni watu kama wengine nao watahukuniwa kwa makosa yao siku ya mwisho.

Je kwa maoni na mtazamo wako yupo sahihi kwa hayo mawazo yake na wewe toa maoni yako ungechukua hatua gani? Weka udini pembeni tumia busara kutoa maoni.
 
Mijadala inayohusu mungu hukosa mwisho ni kutokana na watu kuabudu uoga.
I know where are you heading braza. Waache na huo uoga wao. Wewe amini huo ujasiri wako. Amini unalo amini hakuna anae kuingilia. Na wewe waache. Concentrate on other things. You think you know everything you youngster but you don't know anything about this world. You better shut up. Wew unaishi tuu hapa duniani ila dunia ina siri nzitoo sana. Usikariri. Kuna mambo mengi sana hujui. So better be quit. Go and study more books to feed you are brain with good things. Don't console you are self God real exist do right things. Usijidanganyeee. Nice time. Nasoma vitu vya maana. This is matter of pure opinion. The debate will never end.
 
Kiswahili unakijua kidogo na kiingereza pia unakijua kidogo.
Sio vizuri kuchanganya maziwa mgando na mchuzi wa samaki
 
Huna haja ya kuthibitisha ilihali unasema yupo? Punguza kilevi mkuu

Wataka uthibitishiwe nini ili ujue upepo, bakteria vipo? umeviona?
Mungu yupo kwa sababu wewe upo. Unajua umekujaje hapa? Nani kakuleta/ au kakuchagua uje? Unless uni convince kuwa umejichagua mwenyewe kuja, maana kama unajua sayansi wewe ni mmoja katika ya viumbe zaidi ya 2,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000. ambao kila mmoja alikuwa na nafasi hiyo hiyo yako. Namaanisha vidudu vya manii ya baba yako yalioingia kwenye yai la mama yako kwa mara moja tu hesabu yake ni hiyo. Sijui wazazi wako walijaribu mara ngapi mpaka ukapatikana....utajumlisha mwenyewe.
Kwa kweli tunayoyajua hivi sasa katika sayansi ni wazi kabisa kuna akili pana isiyofanana kabisa na mtu wala kiumbe chochote, iliyoleta dunia, bali na ulimwengu na vingine tusivyovijua. Watu wanaopinga kuwepo kwa Mungu ni aidha wanataka kuonyesha eti wana akili zaidi, au ni wapumbavu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom