Hi wana jf najiunga nanyi rasmi kwenye mtandao huu,naomba kuingia.
asante.
huyo ni chizi, si mzima wa akili kwakweli...Fanya utafiti (kaexperiment) uone inawezekana flaovour ipo. Nilimsikia mmoja about 4yrs back alikuwa anahojiwa Clouds FM akasema alipoanza alikuwa hapati flavour ila baada ya muda alijuta kwanini alichelewa kuanza hako kamchezo!