Dunia imeisha!

Mvua zitanyesha kweli kwa hali hii? Tukisaidiwa sana basi ni mafuriko......itafika wakati na sisi tuanze kuvurumisha vitu vyenye ncha kali kuadhibu watu wa jinsi hii....


Mleta mada, siku nyingine basi turushie hata tu-nukta basi.
 
ndio makosa wanayoyafanya familia nyengine.mtu amtu amuingilie ndugu au mtoto,eti wanasema watayamaliza kifamilia,is wrong kwa sababu ni kama unaendelea kufuga huo uchafu.huyo mtu ataendelea tu na mchezo wake mchafu.kuna mama mmoja hekaheka,alimshtaki mumewe kwa kumuingilia mdogo wake huyo mama mwenye miaka 7 kama sikosei.huyo mama nampa hongera,maana alisema huyo mume majirani wote ameshatembes nao na mahaose girl wote ameshatembea nao.lakini swala la kumuingilia mdogo wake mdogo lilivuka mpaka.alisema anaogopa ipo siku anaweza akawaingilia watoto wake.maana amemvumilia sana na huo uzinzi wake
 
Siamini...wanyama ndio wanaweza kufanya hivi..
 
I have got no suitable word to express this hooliganism act of the highest order..lolz
Its just disgusting to hear this...Lord have mercy on us!
 
Kitoto cha miaka 3? Uongo mwingine bwana

Uongo uko wap?hiyo miaka mi3 au nn,uovu unatendeka sana huamini,fika pale WLAC Kino manyanya muulizie legal officer yeyote kama kesi hawazipokei
 
Weka picha basi au video kabisa kwa hisani ya youtube..

Asante kwa kunikumbusha ntairekodi leo jion watakuja kumhoji mama mwenye nyumba ntafanya hima
 
dunia sio mbaya, na haiwezi kuisha ila walimwengu ndio wabaya na tunaisha kwa matendo yetu maovu.
 

tena ningekuwa mie.huyo mama wala simuhusishi mwenye mtoto. Ningeenda tawlae na kupitia polisi kabisaa. Maaluni laanakum!
 
Yaaani sitaki kuamini hii story na kama ni kweli basi kiama kimekaribia
 
Mh nadhani sasa baada ya kupima ukimwi wababa wamalizie na kupimwa akili kabla ya ndoa. Huu ni ukatili na uaji kabisa, huyu baba atakuwa na akili timamu kweli?
NATA ni baadhi ya wababa....................
 
Uongo uko wap?hiyo miaka mi3 au nn,uovu unatendeka sana huamini,fika pale WLAC Kino manyanya muulizie legal officer yeyote kama kesi hawazipokei
Don get me wrong, I mean if that is a case then the man must be insane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…