Dunia ilimuogopa Idd Amini Dadaa?

Nilikua nawajib wote wenye tabia kama hyo wapo weng sana humu jf

Nb: Hata mimi ni muislamu..
 

Ungeweza kabisa kumsahihisha na kujibu kwa staha bila kuandika maneno ya kashfa kwa dini ya mwenzio.
 
Ungeweza kabisa kumsahihisha na kujibu kwa staha bila kuandika maneno ya kashfa kwa dini ya mwenzio.
Ni kwamba haujaona post yake au unajifanya hauoni.??

Ameandika kwamba "Idd Amin aliponzwa na uislam wake."..
Mtu kama huyo unamjibu vipi.??

Nasisitiza na mimi ni muislamu pure..
 
Jamaa akiwa pembeni mwa pool.
 

Attachments

  • 3712903.jpg
    88.7 KB · Views: 47
Hizo video za youtube ndo zile za last king of scotland
Huyu jamaa nimemshangaa sana, anajisifu Elimu, ala anaamini Video zikiwekwa youtube ndiyo za kweli, wakati kila mtu anaweza weka video yake pale.
 
Mimi nadha ilikuwa ni njia ya kumchafua maana ukiangilia kita usawa hususani kama haki za binadam sizani kama wangelaza dam.
 
Namba moja ndo jibu propaganda tu zile
 
Acha uongo nimesoma history primary to A level cjawah fundishwa habari za kuvamiwa na ndege toka Ug na si hili la vta hata historia nyngne za Tanganyika na Zenj cjawah fundishwa shule bali nimekuja Fahamu kwa kusoma sources tofauti eti bendera ya chama ndio kama ya nchi hv 78 bendera ya Taifa haikuwepo? We sema umeangalia video ile ya RTD now TBC acha kuandika kama umetoka Pulse club
 
Akikukuta na demu wako anakunyan'ganya hadharani
Mh, Rais aliigiza mkanda usio na heshma kiasi hiki?
Video sahihi ni ile huwa inaonyeshwa na TBC na sijui why haiuzwi kwenye libraries hadi hii ya Last King of Scotland ndio imezoeleka wakati imejaa propaganda
 
Naongelea ile video halisi..
Siongelei zile za movie ya laking of scotland
Ww ulisema watu waache kukaa madrasa cjui elimu x3 utafikili ww ulifundishwa shule wakati nawe umeona kwenye video, historia ya nchi yetu imefichwa sana ndugu hebu tafuta hichi kitabu usome (Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru)
 
Mnapenda sana kujificha kwenye kichaka cha Uislam pindi mnaposhindwa kujenga hoja? Mnaisingizia sana dini yenu kwa mambo ya kipumbavu kama haya.
 
Propaganda kwa amini zimepikwa nyingi sana hata faida yake haionekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…