Dunia hii ni holographic simulation (Were not human)

Embu dadavua mkuu hapo ujaeleweka
Mungu kaiumba Dunia kwanza kabla ya vitu vyote kwahiyo baada ya hapo kila alichokitengeneza lazima kishabiiane na Dunia ili kisilete/kisipate tabu ktk Dunia ambapo mtoa mada anatujuza kwamba organs nyingi ktk mwili wa binadamu zinashabihiana na Dunia ndio nikasema haya yote ni uwezo wa Mungu

Angalia vitu ambavyo ni Godmade na vitu ambavyo ni Manmade.

Vitu ambavyo ni Godmade vinaisha/vina muda maalum...angalia ugumu wa Chuma lakini kikikutana na Maji na Hewa kinapata kutu na kuisha

Twende kwenye Manmade mfano Plastic inakua ngumu kuisha labda uichome moto.
 
Remember who you are by David Icke
 
Music pia nasikia una Energy, frequency, and vibration

Secret society hutumia music ili kuteka mind zetu Kuna ukweli gani hapa.?
Nenda Youtube gonga neno "Cymatics" uone jinsi sound inavo form maumbile, connect dots why freemasons use symbols to hide their communication.
Those symbols translated into our subconsciousness
 
Asilimia 99 yabinadam hawafahamu hio Siri unayotaka kutupa???
Unaifahamu ww nahao wachache ulio wataja??

Niko naresearch yangu binafsi nafanya kuhusu tabia namazoea yavitu vidogodogo tunavofanya kwenye maisha yetu zinavoweza kukuza au kuharibu uwezo wetu wakufikiri nakuchambua mambo.
Nimetamani sana kukutumia ww pamoja nahuu uzi Kama case study ya research yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…