Dunia haina usawa

Dunia haina usawa

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,426
Reaction score
7,942
.
FB_IMG_1620068630404.jpg
 
ndio maana mama alinifunza toka zamani kuheshimu chakula.
nyumbani tulikuwa hatusazi chakula wala kumwaga dampo.ukijaza chakula utakula hadi kiishe marufuku kumwaga.
ndio system nnayo hadi leo kuheshim chakula
 
Kweli mkuu. Me nakumbuka hapo zamani za kale ilikuwa nikibakiza ugali usiku unaambiwa ugali huo utanywea chai asubuhi wakati wenzako wanakunywa chai na mkate na siagi nk hii ilisabisha kujichotea kiasi ili kuepuka kubakiza.
 
Chakula huwa kinalaani ukizoea kukimwaga Iko siku utakitafuta usikione. Nimeshuhudia mara 2 viumbe waliosaza na kumwaga chakula makusudi kuishia na wao kukitafuta wasikipate. Hasa vitu vya ngano wanadai ni vibaya mno kumwaga sababu ni chakula cha tangu kuumbwa Kwa dunia. Sina uhakika na ushahidi na Hilo Ila watu wazima husema.
 
Back
Top Bottom