HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,444
- 6,201
Asante Ram kama utahitaji site yenye riwaya nyingi njoo inbox kama arosto itakuwa inakusumbua!
Poa....nitakucheki, ngoja nimtumikie mkoloni kwanza hapaAsante Ram kama utahitaji site yenye riwaya nyingi njoo inbox kama arosto itakuwa inakusumbua!
Ukuje basiMm zaidi babe wangu![]()
Niko hapa nasubir unisomee
Subiri kidogo nikoze koo ili nikianza nimeanzaNiko hapa nasubir unisomee
Haya anzaa mamaa..Subiri kidogo nikoze koo ili nikianza nimeanza
Nimeshafika kwa bwana mapoto amekufa kwa ajali mbaya ya gari unanisikia lakini!..Haya anzaa mamaa..
Unajua umenistua uliposema kua kafaNimeshafika kwa bwana mapoto amekufa kwa ajali mbaya ya gari unanisikia lakini!..
Mapoto hatunae tena. Ilinisikitisha sanaUnajua umenistua uliposema kua kafa
Yaani nikajua mboto mwigizaji. Utaniua kwa presha we mdadaMapoto hatunae tena. Ilinisikitisha sana
Yaani nikajua mboto mwigizaji. Utaniua kwa presha we mdada
jamani mimi nakusomea hadithi umeenda mbaliHahaa sorry.![]()
![]()
jamani mimi nakusomea hadithi umeenda mbali
Mimi nalala nitakuendelezea keshoHahaa sorry.
Haya endelea
Hayaa though nabaki mpwekeMimi nalala nitakuendelezea kesho
Pole unajua usingizi ulivyo haunaga hodi ukiamua umeamuaHayaa though nabaki mpweke