Dunia haina usawa

Aiseeeee
 
Uwiiiii kaka angu jamani usiseme hivyo atasikia ungejua kazi ninayopata kumwambia apost story mm huwa nawaonea huruma jamani kama sijaingia na arosto ndio naanza kubembelezana nae sasa awatumie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yes i said it
Znakuwa mbayaaaaa.

Just joking bhana maana umeichukulia siriaz kishenz
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yes i said it
Znakuwa mbayaaaaa.

Just joking bhana maana umeichukulia siriaz kishenz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna sijachukulia serious ndio mana nimecheka yeye akiingia anapost na kutoka hata akiitwa hageuki nyuma kama mjeda ananifurahishaga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…