Dunia haina huruma


Asante kwa kunisaidia kumsema huyu mtoto
 
Kujisifia kufanya mapenzi kinyume na maadili si sifa njema kwa utamaduni wa mtanzania na pia ni kinyume na maagizo ya Mungu,muumba wa mbingu na Dunia!

mkuu nimejisifia wap?
 
huu ni uongo! na kudhalilishana!
Mbona mwanzoni hukuja kutuambia?
Acha dharau
 
Sasa sijui tukushaurije!
Mbona hukuja kuomba ushauri wakati wa kulainishana pm? Lea mimba hiyo na endelea kupita uani. Mtoto akishazaliwa tutapima dna. Sawa mwanangu?

well struck ex-kidumu. . .
 
mtani ukishamaliza hii consultation utanikuta kwenye makao makuu nitakuwa nishatumbukiza mdomoni kitu kama cha nusu hivi
sawa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…