Ubunge wa huruma! Kutoka kuwa katibu mkuu Ikulu hadi kuwa mbunge ni sawa? Katibu mkuu wa chama dola hadi kuwa mbunge viti maalum ni sawa? Madoido yote yale aliyokuwa nayo Makonda akiwa RC na sifa zote alizokuwa akipewa, wajumbe walimkata na mamlaka za uteuzi zinaona hafai, unaona ni sahihi? Mpka kukawa na mijadala humu eti Makonda for Presidency 2025.