Dume zima unafanya birthday.

Dume zima unafanya birthday.

Huyu bla shaka ni mswazii so anadhani kila mtu ana shida km zake....

Ishu ya shida imetoka wapi, wewe humjui, si ajabu ana pesa kukuzidi. Anasema philosophy ya mwanamume kufanya birthday. Birthday ni kwa watoto, labda kwa kiasi wanawake! Ni kama dume kijichubua na sabuni! Kama dume kwenda kwa Mzee wa upako uombewe upate gari, etc. Anaongea katika muktadha huo!
 
Birthday ni kwa watoto na wanawake nani kasema!? Yaan kweli hii ni ishu ya kuanzishia Uzi? Cjui ht kwnn naendelea kucomment
 
ishu ya shida imetoka wapi, wewe humjui, si ajabu ana pesa kukuzidi. Anasema philosophy ya mwanamume kufanya birthday. Birthday ni kwa watoto, labda kwa kiasi wanawake! Ni kama dume kijichubua na sabuni! Kama dume kwenda kwa mzee wa upako uombewe upate gari, etc. Anaongea katika muktadha huo!

ha-ha-ha-ha!!

Jforums ndo sehemu yangu ya kuondolea stress!!
 
Ishu ya shida imetoka wapi, wewe humjui, si ajabu ana pesa kukuzidi. Anasema philosophy ya mwanamume kufanya birthday. Birthday ni kwa watoto, labda kwa kiasi wanawake! Ni kama dume kijichubua na sabuni! Kama dume kwenda kwa Mzee wa upako uombewe upate gari, etc. Anaongea katika muktadha huo!

Mkuu minya mkuu.. Dah.. Mezea mkuu..
 
  • Thanks
Reactions: OHA
Ishu ya shida imetoka wapi, wewe humjui, si ajabu ana pesa kukuzidi. Anasema philosophy ya mwanamume kufanya birthday. Birthday ni kwa watoto, labda kwa kiasi wanawake! Ni kama dume kijichubua na sabuni! Kama dume kwenda kwa Mzee wa upako uombewe upate gari, etc. Anaongea katika muktadha huo!

Umemaliza mkuu.
 
Japokuwa mimi sioni tatizo katika hilo,,ila kwa upande wangu kufanya Birthhday naona ni kama upuuzi flani hivi....

Ila wanaofanya wacha wafanye tuu...Wanaume wengine huwa wanfanyiwa na apenzi wao..
 
Ishu ya shida imetoka wapi, wewe humjui, si ajabu ana pesa kukuzidi. Anasema philosophy ya mwanamume kufanya birthday. Birthday ni kwa watoto, labda kwa kiasi wanawake! Ni kama dume kijichubua na sabuni! Kama dume kwenda kwa Mzee wa upako uombewe upate gari, etc. Anaongea katika muktadha huo!

Pengine kwa tafsiri tu "Birthday" ni siku ya kuzaliwa...sasa dume haliruhusiwi kusheherekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa....?naunga mkono yule aliyesema labda ninyi wa "uswazi na choka mbaya" kweli!
 
Hapo kwenye Bold

Dahh...Kumbeee!!!
 
Pengine kwa tafsiri tu "Birthday" ni siku ya kuzaliwa...sasa dume haliruhusiwi kusheherekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa....?naunga mkono yule aliyesema labda ninyi wa "uswazi na choka mbaya" kweli!

Kwani zinagharimu kiasi gani ambacho sisi wa uswazi hatuwezi.
 
Back
Top Bottom