Dume zima na hirizi kiunoni

Dume zima na hirizi kiunoni

Mabinti wa Kitanzania kwa kupenda ubwete ukiwa umependeza tu na unausafiri wako unaouwezo wa kuwabadili kadiri unavyo taka.

Hahahaaa... Yani they open their legs faster than google home page...lol
 
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.
Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?
Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.

spati picha jinsi unavyojichekesha ili upate ndovu na utanuliwe mapaja!!........ Mpaka nakuona kinyaa.. nyie ndo mnatujazia kondom viwanjan na makaburin
 
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.
Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?
Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.

mimi ni mcha Mungu wala si mshirikina
 
1549371_596101043798560_1422519049_n.jpg
 
kumbe mwepesi hivyo ngoja niandae mashairi ya Temba ft makamua -kiulaini
 
Hiyo ndio safiii sana unanizingusha cku 3 naomba kazii nini, ki2 cku hiyohiyo naomba papuchi ndio raha yke
 
watafanyaje wakati wanapenda kusaidiwa kwa haswa kupata kazi, masomo yakiwa magumu, maisha magumu, hata bungeni wanadai viti maalum,utdhani huko ulaya vilishawahi kuwepo.

Hahahaaa... Yani they open their legs faster than google home page...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom