Dume zima na hirizi kiunoni

Dume zima na hirizi kiunoni

Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.

Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.

Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.

Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.

Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?

Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.
au ndio kazi na dawa
 
We ulifuata
candlelight dinner + ndovu + mziki mwororo= mgegedo.

Sasa masuala ya hirizi yanatoka wapi tena?
 
Jumatano mmekutana, jumamosi ushavua chupi
 
Ahahahaha...yani ati first nilidhani ni mwanaume anaelezea hii stori!!

images
 
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.

Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.

Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.

Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.

Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?

Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.
Na nlijuwa tu utakuja kuadithia watu humu. Ile ilikuwa mikwala tu uondoke bila kudai pesa
 
Bira shaka atakuwa mshana jr huyo kwa ile minyuzinyuzi ku namna fulani,pole dada wa watu😀
 
Nimefurahishwa na aina ya uandishi wako.
Ingawa thread ni ya miaka mingi, lakini kwenye uandishi upo vzuri.
 
kama uli-enjoy show basi sahau kuhusu hirizi. Wanao vaa rozari je? Nayo ni aina ya hirizi za kizungu.
 
kawaida saaana izo no mbinu ambazo hata Mimi enzi Niko kijana nilikua napenda saana uchi..... nikawa nikipata demu navaa shanga kiunoni... namkamua namuacha na mshangao..... anaenda wasimulia wenzake...

wenzake wananitafuta kwa juhud zote waje kuiona shanga....

km kawa wakija ndan naivaa natembeza dudu...

ndani ya mwezi nikawa nishakamua marafiki km 9 Hiv kirahis saaanah.....

ndio ilivyo kwa uyo basha ako.... we endelea kusimulia na unajifanya una mshangao.... utakuja stuka ashawatia hadi! ndugu zako dadek.

tuna mbinu nyingi saana tukitaka ngozi. trust me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom