Dume la mbegu halinakishi kitu ha ha ha

Dume la mbegu halinakishi kitu ha ha ha

mluga

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
676
Reaction score
215
Jamaa ni mkali si kawaida
 

Attachments

  • mm.jpg
    mm.jpg
    10.2 KB · Views: 849
MR,
Unajua anayeliwa denda ni Winnie Madela, sasa hapo ni kwenye public upo hapo? Mzee Zuma ni kiboko
 
MR,
Unajua anayeliwa denda ni Winnie Madela, sasa hapo ni kwenye public upo hapo? Mzee Zuma ni kiboko

Haaa kumbe huyu Zuma hajatulia bas:A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
Sasa kama mtu kausogeza mdomo wake tena wazi kwanini umepe bega...utakuwa utovu wa nidhamu. Ni kumsogezea mdomo tu ili kama noma na iwe noma tujue moja.
 
Ninavyojua Mandela walishatengana na Winnie kwa hiyo hana cha hasara hapo yeye wakwake ni Graca Machel kwa sasa
 
if you left some some take that is how world is
Conquest-mvua na jua bora nini na majibu ya wale wa mabondeni.....................:clap2:
 
Huyu mama c nndo aliwahi kuwa festladi wa bondeni? Zumazumaaaaaaa!
 
Mi nimefurahia huo mkono wa kushoto wa winnie ulivyombamba kisawasawa bega la huyu kidume zuma.
 
Hii picha ni ya zamani,ila imetua humu leo!!!Zuma ni mchafuzi sana inasemekana na alikiri kuwa alishawahi kutembea na mwanamke mwenye miwaya!!hapo alipo nasikia ana wake kama watano hivi na bado anachakachua nje
 
HIVI KWANI WANAKUJA KWA ORDER? SI UKIMTAMANI UNAM:twitch:....... HALAFU MAMBO YANAKUWA :tea:
 
attachment.php


Hili ni busu la upendo na ukomredi si denda jamani. Hata hivyo Winnie ni moto chini na ni mrembo kuliko maneno
 
Back
Top Bottom