Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Nilikuwa nabadilishabadilisha channels kutafuta kama kuna kipindi cha maana katika TV yoyote sasa ndio nikaangukia ITV - full nimeingia mkenge kukutana na kipindi wanakiita Dume Condom Challenge.
Nikasema ngoja nijipe subira kuangalia what is going on, hee, kidogo naona majaji wanainterview watu "kwa nini umeamua kushiriki hili shindano?".
Majibu: "Mie ni mwanaume wa kweli, mie dume, mie ni mwanaume ukiangalia hata physical inaonyesha, nimekuja kudhihirisha kwamba mie ni mwanaume, etc.,". Nadhani lengo la shindano ni kuhamasisha wanaume kutumia condom - kama mjuavyo tena kusubiri au kuwa na mke tu wengi hawawezi.
Ukisikiliza majibu ya washiriki wengi unagundua hawajui ni ujumbe gani wanatakiwa wafikishe kwenye jamii, badala yake wamebaki kujisifia kuwa ni wanaume wa kweli.
Hivi kama mtu ameshiriki hili shindano halafu anajisifu yeye ni mwanaume wa kweli halafu kuna mke au mpenzi wake anayemjua fika kwamba ni kimeo kitandani anamtazama, jamani sio kujichora huko?
Najua babu Asprin na Excel kama wameona watakuwa walizima TV! Halafu kuna mijamaa inaonyesha kabisa itatumia kigezo cha kushiriki hili shindano kama gear ya kuwatongoza wanawake na kuwagegeda kwa swagger kama "unajua mie nilikuwa mshirilki wa Dume C C". Lol, kuna mdada anafanana na vatar ya badiebey anaongoza kipindi sijui anaitwa nani, anaonekana kuvutiwa sana na hii challenge huku akilegealegea sijui ni mdau mkubwa wa matumizi!
Achana na hiyo habari yangu hapo juu. Hivi hii challenge ya dume condom na entertainments zote zinazoambatana nayo itawahamasisha watu kutumia condom na kupunguza maambukizi au itawahamasisha watu kingono na hata condom wasikumbuke?
How comes kuna matangazo ya condom kila mahali lakini maambukizi ya ukimwi yanazidi kupanda kila kukicha?
Ukimwi ni noma hata kama kuna ARV.