wewe mambo ya vijana unataka walazimike kuwa kama watu wazima hio ni hulka ya umri wao na watavuka pia na kushangaa wengine kama wewe kila kitu ni hatua hata mimi nlikuwa na hekaheka za hali za ujana hivyo muda ni mwalimu wa mabadiliko.
Sijui kwa nn..Kuna majina ukiyaskia unaona kabisa mwana Hana baya..nshakutana na kina dulla wengi wako peace sana....@jamaa alikua real sana namkubali..namkumbuk zaidi kwenye zile dk 10 za maangamizi..Kuna muda ilikua fire