Ilkua 2008,Aisee ni kitambo. Tokea anafanyiwa shindano la kumtafuta mrithi wa Ace miaka ileeee. Jamaa ndio akashinda.
Ni yeyeHuyu si ndo alimreplace Salama au namix mafaili?
Hakika [emoji106]Huyu si ndo alimreplace Salama au namix mafaili?
Yeah kapiga sana kazi pale East Africa RadioMwana kapiga sana kazi [emoji109]
Kudos [emoji1666]
Kila la heri kwake katika "msebenzo" wa life ,amen [emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
FNL [emoji573][emoji573][emoji573]Mimi binafsi nitamkumbuka sana hapo kwenye Friday Night Live
Ejamaaaaa eheee Baki nasiiii
YeeeeyooooYeah kapiga sana kazi pale East Africa Radio