Duka lipi linauza wallpaper Dodoma?

Duka lipi linauza wallpaper Dodoma?

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Kwa anaefahamu wadau anijuze nahitaji hyo kitu
Pia naomba kufahamishwa kuwa nitajuaje hzo wallpaper ni original
Asanten.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unahitaji sema tufanye biashala ya kukutumia nawasilisha wazo tu mkuu..
 
Kama unahitaji sema tufanye biashala ya kukutumia nawasilisha wazo tu mkuu..

Kama unazo tunaomba utuwekee pics zake watu watavutiwa zaidi mwisho wa siku biashara itafanyika mkuu.

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom