fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,767
- 7,506
Kwa anayejua,naomba contacts za duka linalouza vifaa vya keki kwa Mwanza au Dar es salaam.
Kwa anayejua,naomba contacts za duka linalouza vifaa vya keki kwa Mwanza au Dar es salaam.
asante sanaMwanza.Lumumba pale kwa vunja bei chini yake kwenye maduka ya simu hapo ulizia watakuonyesha. Pengine ulizia mgahawa wa chake chake ulipo ukifika ulizia wanapouza keki hapo huwa wanauza na vifaa vyake
Leo nitaendaMwanza.Lumumba pale kwa vunja bei chini yake kwenye maduka ya simu hapo ulizia watakuonyesha. Pengine ulizia mgahawa wa chake chake ulipo ukifika ulizia wanapouza keki hapo huwa wanauza na vifaa vyake
Leo nitaenda