EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,587
- 21,427
wakuu kama kuna mtu analijua dula la mobi sales anielekeze lilipo kuna mahitaji nataka nikapate pale ila sijui lilipo kwa hapa Dar
Wengi hatulijui Hilo duka la mobi sales labda ungeelezea zaidi kwamba huwa wanauza Nini?wakuu kama kuna mtu analijua dula la mobi sales anielekeze lilipo kuna mahitaji nataka nikapate pale ila sijui lilipo kwa hapa Dar
wanauza simu mkuu nimewaona kupitia mtandao wa jumia badala ya kununua simu kwenye mtandao nataka niende kwao directWengi hatulijui Hilo duka la mobi sales labda ungeelezea zaidi kwamba huwa wanauza Nini?