Duka gani hapa dar ntapata hizi brand? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duka gani hapa dar ntapata hizi brand?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by IDM, Mar 15, 2012.

 1. I

  IDM Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  • Kwa dar..wapi nitapata caps kali za MMG,ymcmb n.k....nikitajiwa na bei pia itakua poa,anayejua naomba msaada!

   eg..Last Kings Tyga Snapback


   [​IMG]


   ymcmb snapback


   [​IMG]

   MMG

   [​IMG]

   [​IMG]
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  dar zipo za kichina
   
 3. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wapi ziko za kihindi?
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,978
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Zipo za kichina,oposite na jengo lenye ofice za chama cha mabaharia kariakoo ile njia inayoelekea sokoni.duka lipo kulia kama unatokea barabara ya uhuru
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nenda kinondoni studio na mwenge utapata shenzi type zako hizo..
   
 6. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ukitaka Orijino pita pale kwenye Mitumba Mchikichini...
   
 7. I

  IDM Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..hakuna anayujua bei?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Original Bongo bado ila kama unataka original mwambie mtu wa usa akutumie!
   
 9. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Za bongo famba...
   
 10. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mkuu hapa tayari ushawapa wajasiriamali dili la kwenda thailand kuzifyatua copy za hizo.
  Mim nasikiaga kucheka eti mtu dar anakwambia nimepiga designer juu hadi chini,halafu anakwambia bei si chini ya laki na nusu,yaani unakuta mtu hadi anatia huruma.
  Masharobaro na masista duu wa bongo hamna uwezo wa kuvaa designer pieces tulieni tu mnatia aibu.
  Tukiwatajien bei tulizonunulia make up bags za designers wa ukweli,tena ambazo hata hatuendi nazo popote tunaacha bafuni si mtapata matumbo ya kuharisha.
   
 11. I

  IDM Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  mkuu mi hata izo famba tx okwy...ili mradi zisiwe na quality mbaya sana,zikiwa kawaida bac poa.
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  anyway, niko nyuma sana na fasheni.
  Ila ni za wauza maziwa wa Igoma?
   
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mkuu kama una dollar 110,nipm nikupe hiyo ya last kings lkn ni ya rangi nyeusi.
  ni original nilimnunulia mtu zawadi hakuipenda,ni mpya haijavaliwa,iko kwenye original packing na dustbag yake hata haijafunguliwa.Kama uko tayari hata kesho unaipata.
   
 14. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Hahahah!kuna tofauti kubwa kati ya brotherman na mtanashati!dogo aliyeanzisha thread ni brotherman tena new edition!
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  Zipo ubungo zimemwangwa karibu na jengo la tanesco bei ni buku moja.
   
 16. I

  IDM Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  hizo za ubungo hapana...hata kama original siziwezi,but hizo za kumwagwa chin tena?
   
 17. Emilia

  Emilia JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ha ha watu wengi hatujui quality,wachina wameharibu kila kitu,wanatudanganya kwamba unaweza kuvaa designers kwa bei ya kutupwa, kuliko mtu anunue handbag ya leather akae nayo,yuko radhi anunue LV ya plastic abebe siku mbili.
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  dah cheusi wangu bwana.ebu pumzika usije mdhuru mtoto
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280


  mmmmmmmmh!!!!!!!!!
   
 20. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  usijali smile,usalama wa aunty wako ndio jambo la muhimu kuliko yote kwangu kwa sasa.
   
Loading...